Tunaweza tusiwepo, ila maandishi yanabaki: Nina maono

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !

Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!

Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe

Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka

Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi

Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakini huko mbeleni mbeleni

Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka

Britanicca
 
Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !

Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!

Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe

Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka

Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi

Yaweza wezekana hata jeshi likaongoza Tanzania kwa mapinduzi kutokana na wanakuwa madarakani kupuuza wananchi

Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakin huko mbeleni mbeleni

Hii haiko mbali mkuu trust me
 
hayo ni ngumu kutokea kwa maana Christians hawana visasi na wana “huruma”, hivyo hata kama meza zikipinduliwa leo hii bado hautaona hayo unayoyasema na hata kama yakitokea bado mtarudi hapa kulia kwamba waachiwe kama mlivyompigania muhindi seth kwamba aachiwe tu angalau akatibiwe, haya leo huuyooo bado anafisadi tu hata kuwakebehi.

hivyo mambo ya revenge ni ya kusahahu kwani hayawezi kutokea, cha muhimu ni ku-fight kupigania nchi yetu na tukiikomboa kuhakikisha haitekwi tena …
 
Kuna kitu kinaitwa system
,Hii itabaki nadharia tu kama ya kwenye vitabu ambayo implementation yake ni ngumu mno kutokea ndani ya nchi hii.

Remember Newton first law of motion
“ An object will remain at rest, or move in a straight line at constant speed, unless acted upon by an external force“

Pole sana
 
Na haya yote yatabaki kama story za Abunuwasi endapo tutaendelea kupiga porojo..!!
 
Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !

Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!

Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe

Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka

Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi

Yaweza wezekana hata jeshi likaongoza Tanzania kwa mapinduzi kutokana na wanakuwa madarakani kupuuza wananchi

Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakin huko mbeleni mbeleni

Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka

Britanicca
Samahani ni YAWEZEKANA au ndio PLAN kwa Sasa hizo option zote mojawapo itokee?
 
Bado sana! Mpk pale idadi kubwa ya watanzania wanaokubali kujazwa kwenye malori kwenda mikutanoni wafe wote kije kizazi kipya! tupunguze kujifariji Kwa mustakabali wa afya zetu za akili
Ndo maana Idd Amini alipoona wazee na Vikongwe wanamchelewesha, Akaleta Tipa za kutosha akawajaza na kwenda kuwabinua Victoria, unawahisha mchakato. Mambo ya kusubiri mzee aliyemkariri Nyerere hadi afe yatachelewesha sana mabadiliko, hao ndo wanawapa kichwa hawa mijusi
 
Kwa jeshi hili ya uvccm sidhani.anyway hata uvccm kunakipind watachoka kuwa chini ya jopo la kundi la wachache kwa maslahi yao binafsi
 
Back
Top Bottom