britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
- #41
Nam"Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi"
Mimi niliona ajali y helicopter/ndege
Nam"Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi"
Mimi niliona ajali y helicopter/ndege
Kwani kuna nini🤣🤣🤣🤣
Vipi huko kumekucha?
Hiyo system ndio iliyofanya makam akaapishwa kuwa RAIS na sasa akawa RAIS wa kwanza mwanamke!!!Kuna kitu kinaitwa system
,Hii itabaki nadharia tu kama ya kwenye vitabu ambayo implementation yake ni ngumu mno kutokea ndani ya nchi hii.
Remember Newton first law of motion
“ An object will remain at rest, or move in a straight line at constant speed, unless acted upon by an external force“
Pole sana
Ramli chonganishi baada ya kumuaga pale airport kwenda majuu!!Vipi huko kumekucha?