🤔🤔🤔Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi
Mbona unasahau mapema sana? Wakati wa JPM watu hawakukimbia nchi hii? Kosa alilofanya ni kudhan kuwa akiwasamehe watabadilika kumbe wanapanga kumuua. R. I. P JPMhayo ni ngumu kutokea kwa maana Christians hawana visasi na wana “huruma”, hivyo hata kama meza zikipinduliwa leo hii bado hautaona hayo unayoyasema na hata kama yakitokea bado mtarudi hapa kulia kwamba waachiwe kama mlivyompigania muhindi seth kwamba aachiwe tu angalau akatibiwe, haya leo huuyooo bado anafisadi tu hata kuwakebehi.
hivyo mambo ya revenge ni ya kusahahu kwani hayawezi kutokea, cha muhimu ni ku-fight kupigania nchi yetu na tukiikomboa kuhakikisha haitekwi tena …
NaamYawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !
Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!
Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe
Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka
Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi
Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakini huko mbeleni mbeleni
Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka
Britanicca
Hii haiko mbali mkuu trust me
britaniccaMkuu mbna unafufua nakaburi?
Moja lilikwama dakika za jiooooni ila haya mengine mawili Ni kuyaweka kwenye MaombiInawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi
Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakini huko mbeleni mbeleni
Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka
It is almost close.Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !
Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!
Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe
Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka
Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi
Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakini huko mbeleni mbeleni
Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka
Britanicca
DuhYawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !