britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hii haiko mbali mkuu trust meYawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !
Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!
Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe
Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka
Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi
Yaweza wezekana hata jeshi likaongoza Tanzania kwa mapinduzi kutokana na wanakuwa madarakani kupuuza wananchi
Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakin huko mbeleni mbeleni
Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka
Britanicca
Uliona wapi mkuu?"Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi"
Mimi niliona ajali y helicopter/ndege
Nchini IranUliona wapi mkuu?
Bado sana! Mpk pale idadi kubwa ya watanzania wanaokubali kujazwa kwenye malori kwenda mikutanoni wafe wote kije kizazi kipya! tupunguze kujifariji Kwa mustakabali wa afya zetu za akiliHii haiko mbali mkuu trust me
Samahani ni YAWEZEKANA au ndio PLAN kwa Sasa hizo option zote mojawapo itokee?Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka !
Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine!
Yawezekana kabla haya ya 2050 tukawa na Rais ambaye amewai funguliwa kesi ya uchochezi au uhaini, Inategemea Anaweza akawasamehe Kama watakuwa hai au akaona awawajibishe
Yawezekana siku moja Tanzania diaspora wanaoikimbia Tanzania kisa mikono ya chuma wakarejea nchini kusherekea ushindi wa mtu wanayemtaka
Inawezekana hapo baadae Kiongozi mkubwa akapata ajali na tukabadili uongozi
Yaweza wezekana hata jeshi likaongoza Tanzania kwa mapinduzi kutokana na wanakuwa madarakani kupuuza wananchi
Yawezekana mashambulizi ya halaiki yakatokea kwenye majengo Muhimu ya viongozi si lazima iwe leo Lakin huko mbeleni mbeleni
Yawezekana kuna siku kiongozi atatafuta pa kukimbilia ama kutumia helkopta au meli kisa wananchi wameamka
Britanicca
Ndo maana Idd Amini alipoona wazee na Vikongwe wanamchelewesha, Akaleta Tipa za kutosha akawajaza na kwenda kuwabinua Victoria, unawahisha mchakato. Mambo ya kusubiri mzee aliyemkariri Nyerere hadi afe yatachelewesha sana mabadiliko, hao ndo wanawapa kichwa hawa mijusiBado sana! Mpk pale idadi kubwa ya watanzania wanaokubali kujazwa kwenye malori kwenda mikutanoni wafe wote kije kizazi kipya! tupunguze kujifariji Kwa mustakabali wa afya zetu za akili