Tunaweza tusiwepo, ila maandishi yanabaki: Nina maono

bora umewachanganya 2050.Hii ni DMZ code maana kama tuna washtua sana hapa JF wanatufatilia
 
Mbona unasahau mapema sana? Wakati wa JPM watu hawakukimbia nchi hii? Kosa alilofanya ni kudhan kuwa akiwasamehe watabadilika kumbe wanapanga kumuua. R. I. P JPM
 
Naam
 
Mkuu nakuelewa sana unachokifanya.

Ni sawa na 'baunsa' aliekuonea ilhali huna cha kumfanya unaishia kumwambia 'subiri utaona' kumpa japo jambajamba tu🤗

Ila it's very unfortunate you're reduced to this mkuu coz ulibeba matumaini ya wengi na lile jambo lako la 'July July'😊
 
Tupe za jikoni Brit maana unafufua tu nyuzi zako bila kutia neno
 
Moja lilikwama dakika za jiooooni ila haya mengine mawili Ni kuyaweka kwenye Maombi
 
Mungu wetu wa Mbinguni tunakuomba hebu Amua huu ugomvi.
 
It is almost close.
 
Duh
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…