Tunaweza tusiwepo, ila maandishi yanabaki: Nina maono

Hiyo system ndio iliyofanya makam akaapishwa kuwa RAIS na sasa akawa RAIS wa kwanza mwanamke!!!

System ni system tu inaweza fanya chochote tu bila kujali nani!!!
 
Vipi huko kumekucha?
Ramli chonganishi baada ya kumuaga pale airport kwenda majuu!!

Na lile goti la kagame linatafakarisha pia plus RUTO nae kuja!!

Pia kikwete ananunua samaki na kutoa historia ya utotoni yake kule msoga!!

Ni kama ka movie hivi kanachezwa !!

Labda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…