Tunawezaje kumsaidia huyu, atumie dawa gani na hili ni tatizo gani?

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
347
Reaction score
560
Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na hatimaye hufanya vijipu.
 
Karibu tukuhudumie
 
Back
Top Bottom