38 maana kuanzia hapa unaweza hata kupewa uzee wa kanisa...Kwani uzee unaanzia miaka mingapi ndugu?
Kuna aina mbili za kuitwa mzee! Ya kwanza kama wewe ni kapuku huna hela! Maana ya pili! Ni pale kiumri huko vizuri lakini maokoto ya kuwamudu wanaokuhusu yapo! Uzeee wa kindezi, unaanza pale unapoishiwa pesaKwani uzee unaanzia miaka mingapi ndugu?
Sawa mzee.Bila shaka utakuwa umezaliwa 84/85/86 Sasa
Hivi unamkumbuka gardner, kigunge, jembe ni jembe, sugu, prof Jay, simbachawene, Lugumi, MO dewji manara haw wote ni 50+ lakini hutowaskia wakijiita wazee Ila nyie wathemanini kazi Kujisifia sifia uboya uboya afu ujuaji mwingi
wewe si umeweka bleach😂Mi nina 39 na kichwa asilimia 50 ni cheupe, mimi ni mzee?
Watu wenye miaka 1970 nawakubali sana huwezi kuwa sikia wanaongea hivi wapo relaxed sana na exposure vijana wa 1980 nyie kizazi worst kuwahi kutokea maana hapo ndipo ukimwi ulishamiri, makundi ya hovyo, drop out of school, mihadarati, ujambazi, mauaji ya albino hii yote ni 2009 kushuka chini hapo watoto wa 1980 ndo wameleta habari za Kulala na mama zaoAm 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
1970's ni wapigaji sana. Wanapenda sana hela halafu ni wafitini balaa.Watu wenye miaka 1970 nawakubali sana huwezi kuwa sikia wanaongea hivi wapo relaxed sana na exposure vijana wa 1980 nyie kizazi worst kuwahi kutokea maana hapo ndipo ukimwi ulishamiri, makundi ya hovyo, drop out of school, mihadarati, ujambazi, mauaji ya albino hii yote ni 2009 kushuka chini hapo watoto wa 1980 ndo wameleta habari za Kulala na mama zao
huna adabu! Ukamatwe harakaWatu wenye miaka 1970 nawakubali sana huwezi kuwa sikia wanaongea hivi wapo relaxed sana na exposure vijana wa 1980 nyie kizazi worst kuwahi kutokea maana hapo ndipo ukimwi ulishamiri, makundi ya hovyo, drop out of school, mihadarati, ujambazi, mauaji ya albino hii yote ni 2009 kushuka chini hapo watoto wa 1980 ndo wameleta habari za Kulala na mama zao
Kakupatia heshima, kaona unastahili😁Mimi nimekutana na msichana mkubwa tunaweza kua sawa miaka au tumezidiana kidogo lakini kaniamkia 'Shikamoo mama'
Niliitikia huku moyo unaniuma.
Kuna aina mbili za kuitwa mzee! Ya kwanza kama wewe ni kapuku huna hela! Maana ya pili! Ni pale kiumri huko vizuri lakini maokoto ya kuwamudu wanaokuhusu yapo! Uzeee wa kindezi, unaanza pale unapoishiwa pesa
Wale mabraza wa 1970 huwezi kusikia wanapondea kizazi cha 1990 au 2000,njoo kwenu wa earlier 1980's Kila kitu mnatafuta pa kufia (wa kutupia lawama) sisi wa 1986 kushuka chini hatunaga mambo ya kiwaki1970's ni wapigaji sana. Wanapenda sana hela halafu ni wafitini balaa.
Kuamkiwa mpaka na watu wazima nishazoea ila tatizo limekuja yeye kuniita 'mama'🥹Kakupatia heshima, kaona unastahili😁
Jibu swali vizuri...Tuna vipara na mvi.
😄😄😄Mimi nimekutana na msichana mkubwa tunaweza kua sawa miaka au tumezidiana kidogo lakini kaniamkia 'Shikamoo mama'
Niliitikia huku moyo unaniuma.
Sio bleach mzee, ni mviwewe si umeweka bleach😂
Amesema rafiki zake 80% asilimia 80 hajamaanisha kua ni miaka ya 80's😂😂😂 80's out ni old model sasa
Labda mwiliKuamkiwa mpaka na watu wazima nishazoea ila tatizo limekuja yeye kuniita 'mama'🥹
Sijui kanionaje