Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,

Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..

Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
 
Bila shaka utakuwa umezaliwa 84/85/86 Sasa

Hivi unamkumbuka gardner, kigunge, jembe ni jembe, sugu, prof Jay, simbachawene, Lugumi, MO dewji manara haw wote ni 50+ lakini hutowaskia wakijiita wazee Ila nyie wathemanini kazi Kujisifia sifia uboya uboya afu ujuaji mwingi
 
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,

Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..

Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
Watu wenye miaka 1970 nawakubali sana huwezi kuwa sikia wanaongea hivi wapo relaxed sana na exposure vijana wa 1980 nyie kizazi worst kuwahi kutokea maana hapo ndipo ukimwi ulishamiri, makundi ya hovyo, drop out of school, mihadarati, ujambazi, mauaji ya albino hii yote ni 2009 kushuka chini hapo watoto wa 1980 ndo wameleta habari za Kulala na mama zao
 
1970's ni wapigaji sana. Wanapenda sana hela halafu ni wafitini balaa.
 
Watu wenye miaka 1970 nawakubali sana huwezi kuwa sikia wanaongea hivi wapo relaxed sana na exposure vijana wa 1980 nyie kizazi worst kuwahi kutokea maana hapo ndipo ukimwi ulishamiri, makundi ya hovyo, drop out of school, mihadarati, ujambazi, mauaji ya albino hii yote ni 2009 kushuka chini hapo watoto wa 1980 ndo wameleta habari za Kulala na mama zao
huna adabu! Ukamatwe haraka
 
Kuna aina mbili za kuitwa mzee! Ya kwanza kama wewe ni kapuku huna hela! Maana ya pili! Ni pale kiumri huko vizuri lakini maokoto ya kuwamudu wanaokuhusu yapo! Uzeee wa kindezi, unaanza pale unapoishiwa pesa
fallyipupa01_1735047040_3530152892210160670_244341137.jpg

Mi naona ni jinsi mtu anajiweka, kama hii picha ni Fally Ipupa mwezi uliopita , ana miaka 47, lakini kuna kijana ana miaka 35 unaweza sema wanalingana au anamzidi.
Kuanzia mavazi, chakula , mtindo wa maisha unaamua muonekano wako...
fallyipupa01_1736589744_3543094037374440761_244341137.jpg

Hii ni picha yake 2 hrs ago....
 
Back
Top Bottom