Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.