Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Kwa mujibu wa WHO uzee sio umri bali ni ugonjwa.
Kuna watu leo wana umri mdogo sana ila ni wazee.Wengi siku hizi wanaugua ugonjwa wa uzee wakiwa na miaka thelathini na tano na kuendelea.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mi nina 39 na kichwa asilimia 50 ni cheupe, mimi ni mzee?
Kuna tofauti kati ya kuzeeka (growing old) na kukua (growing up). Kuzeeka kunahusisha zaidi kuchakaa kwa mwili (wear and tear of body) kwa kasi kubwa. ilhali kukua kunahusha kuongezeka kwa umri/miaka ya kuishi. Unaweza ukawa na umri mdogo kmf miaka 39 lakini ukawa umezeeka kwa maana ya mwili kuchakaa kulinganisha na mwenye umri mkubwa kmf 60+ lakini akiwa na afya na siha nzuri. Muhimu ni kutunza miili yetu na kuepuka magonjwa na uchakavu usioendana na umri wetu. So grow up, don’t grow old.
 
KADA, leo umeongea jambo la maana kabisa.
 
Vibinti vina tatizo gani?
 
Hicho utakachofanya kwa haraka kitakusaidia nini, au kitazuia usizeeke?
 
Mi nikiamkiwa na vitoto vya shule huwa najibu "asante". Shikamoo inazeesha sana
 
πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 eti babu shkamoo. Vitoto muda mwingine vikiona mwanaume Ana kitambi vinajua anaweza kumzaa mzazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…