Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Unadhani hivyo? Nipo kwenye group la familia, ages zetu hazijatofautiana sana coz baadhi wamezaliwa 60s hadi mid 80s hapo, yaani kizazi cha kaka, dada na cousins kipo hapo. So umri wao ni around early 40s to early 60s.

Swala la aging linazungumzwa sana kwenye hilo group, watu wanajawa na hofu ya kuzeeka, trust me hakuna anayejiamini linapokuja swala la kuzeeka, hakuna anayependa kuzeeka, ni basi tu asili haikwepeki.
Basi mie naonaga kama wamerelax sanaa🤔
 
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Vipara na mvi ndio umri gani
 
nina miaka 65 ilaa mtaani nawakojoza wengi tu..mabint wananikubali mnoo...bora hela tuu
nyie ndio maofosi watoto wakike wakija kuomba kazi hamtoi mbaka muwatombe😄😄
 
Ni kweli mkuu,ila hayo mambo yenyewe utaenda nayo wapi...
Mwisho wa uzee ni kifo mkuu
 
Una miaka mingapi? Kwanini muonekano wako ukufanye uwe mzee??? ,badili aina ya mlo unaokula ,fanya mazoezi,epuka msongo wa mawazo ,visungura vinazeesha pia !! 😊
Sipigi visungura na huwa machalii wakiniona wanacheka tuu, wanakumbuka High school,

Tatizo watu wanaokuzunguka sasa.

Umri haudanganyi, majukumu yatakuambia wewe ni nani kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom