Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Nilichogundua uzeeni kuna BATA za kutosha kuliko ujanani. Imagine ujanani unakula BATA ukiwa na stress za kodi, ada ya mtoto mara madeni, lakini uzeeni unakula ulichowekeza ujanani.
Uzeeni unakula kodi za nyumba ulizojenga, huwazi ada za watoto, unakula maisha kwa pesa za watoto mpaka wajukuu.
Tengeneza maisha ukiwa kijana BATA zipo mpaka uzeeni Ohoo
 
Kuna hawa watu wa kuanzia 1979-1965 ( Wazee wetu ) wamerelax sana aisee hawajai kuwa na pressure kuhusu umri na mambo yao yanaenda vizuri tu,.
 
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Halafu unakuta kimya kimya wameshanza kumeza dawa za presha na sukari, tezi dume, suppliments kurahisisha menopause... Hawajakusimulia haya?? ✍🏽
 
Nilichogundua uzeeni kuna BATA za kutosha kuliko ujanani. Imagine ujanani unakula BATA ukiwa na stress za kodi, ada ya mtoto mara madeni, lakini uzeeni unakula ulichowekeza ujanani.
Uzeeni unakula kodi za nyumba ulizojenga, huwazi ada za watoto, unakula maisha kwa pesa za watoto mpaka wajukuu.
Tengeneza maisha ukiwa kijana BATA zipo mpaka uzeeni Ohoo
😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😅😂
 
Bila shaka utakuwa umezaliwa 84/85/86 Sasa

Hivi unamkumbuka gardner, kigunge, jembe ni jembe, sugu, prof Jay, simbachawene, Lugumi, MO dewji manara haw wote ni 50+ lakini hutowaskia wakijiita wazee Ila nyie wathemanini kazi Kujisifia sifia uboya uboya afu ujuaji mwingi
Hata wasipojiita ila ni wazee. Kuzeeka haijalishi unavojiita ama unavoitwa ni idadi ya biological age you have clocked. Btw gardner si keshafariki update your brain info centre.
 
Najua kafariki Ila nilitaka tu kumwambia ajue mwamba enz zake alikua mtu braza fulani hivi anaejipenda
 
Halafu unakuta kimya kimya wameshanza kumeza dawa za presha na sukari, tezi dume, suppliments kurahisisha menopause... Hawajakusimulia haya?? ✍🏽
Tayari mkuu.

Dawa za presha kama mateja.
 
2019 niliona mvi kidogo kidevuni, nikasema it's really nice yaani naonekana bomba sana. Hazikuchukua mda zikachachamaa, ninavyoongea kichwa kinakuwa cheupe, no piko wala black kichwani.

2000 wakati Mkapa anachukua nchi nilikuwa kijana mdogo, leo ni miaka 25 na ni juzi tu, 2050 ni kesho tu na uzee utakuwa umekaa mahali pake and eventually DEATH!

Maisha ni mafupi sana, kuishi juu ya uso wa dunia ni kwa kitambo tu.
 
Unasoma flow ngap mzee
 
Kuna hawa watu wa kuanzia 1979-1965 ( Wazee wetu ) wamerelax sana aisee hawajai kuwa na pressure kuhusu umri na mambo yao yanaenda vizuri tu,.
Unadhani hivyo? Nipo kwenye group la familia, ages zetu hazijatofautiana sana coz baadhi wamezaliwa 60s hadi mid 80s hapo, yaani kizazi cha kaka, dada na cousins kipo hapo. So umri wao ni around early 40s to early 60s.

Swala la aging linazungumzwa sana kwenye hilo group, watu wanajawa na hofu ya kuzeeka, trust me hakuna anayejiamini linapokuja swala la kuzeeka, hakuna anayependa kuzeeka, ni basi tu asili haikwepeki.
 
Back
Top Bottom