Hahahahahubby wa tunda ktk ubora wakeee...
ukimgusa tunda umeumiaaaa.....
Mkuu hii kitu huwa inakera saana yani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Bob mbona povu!!?
Tunda asha kobolewa hakuna namna kibaba!
sawahata mimi naona, huyu namshauri atumie i phone 7 wereva aacha kutumia tecno wereva.
Woyooooo!!!aah aah nataka nirudi na umbea wangu exclusive kama zamani no kukopi from IG yani ni ubuyu fresh from warumi
Lazima mnao shabikia awaite centralHance wa tunda kishafika eneo la tukio....wacha weeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ubuyu wa enzi.zile unaenda dirishani.kwa wema kuwachungulia wema na diamond...
unaenda kulala msiba.wa.msanii.ili upate umbea ha ha ha ha ila we mtu kwakweli hapana
Tunda babake alishadunda Mpaka akachoka haskii kitu chochote hadi mzee wake kasurrender mwenyewe dunia ndo itamfunza.mizee ya kichaga inapenda pesa tu!!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kwanza tunda jina lake anaitwa Anna peter Sabasita Kimaroo
Na watu wa madawa ndio walivo wanajuaga pa kufinya ukiwaletea zengwe watamvutisha hata mkeo ili tu muheshimianetena baba yake ni mkaliii balaaa alipokuwa moro mateja na vibaka walikuwa wakimuhara kumbe teja anae mwenyewe
Asagwe tu maana hamna namna, watu tuko busy na kiki la mihadarati.
mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
acha awafilimbe mpaka ziote sugu
ha ha ha nakumbuka ilikua msiba wa marehemu Adam kuambiana, warumi alitafuta nyumba ya msiba akaenda kulala πππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hio nayo kali
HahahahaMkuu hii kitu huwa inakera saana yani
We jaribu kufikiria angekuwa binti yako anachafuliwa hivi ungejiskiaje kama mzazi?
Ujue muda mwingine mtu kama umekosa cha kupost bora ukae kimya kuliko alichofanya huyu bwana mdogo
Alipata zero form fourAsante kwa kunirekebisha pia Ila baba askari mtoto teja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijui inakuaje yaanii na shule pia kashindwa looohhh
Mrumi me nampenda huyu mtotoaaaaah sawa baba tunda
Bora urudi aisee insta sikuhizi hamna ubuyu watu wako busy na matangazoaah aah nataka nirudi na umbea wangu exclusive kama zamani no kukopi from IG yani ni ubuyu fresh from warumi