Tunda Achana na mlitoz

Tunda Achana na mlitoz

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Bob mbona povu!!?

Tunda asha kobolewa hakuna namna kibaba!
Mkuu hii kitu huwa inakera saana yani

We jaribu kufikiria angekuwa binti yako anachafuliwa hivi ungejiskiaje kama mzazi?


Ujue muda mwingine mtu kama umekosa cha kupost bora ukae kimya kuliko alichofanya huyu bwana mdogo
 
16464687_1446061942083154_3449124683062968320_n.jpg
16584990_397995767221391_3868741974269886464_n.jpg
 
tena baba yake ni mkaliii balaaa alipokuwa moro mateja na vibaka walikuwa wakimuhara kumbe teja anae mwenyewe
Na watu wa madawa ndio walivo wanajuaga pa kufinya ukiwaletea zengwe watamvutisha hata mkeo ili tu muheshimiane
Namcheki Makonda na shughuli zake nasema wata mng'ata panapouma si hawajui bhana!.
 
Mkuu hii kitu huwa inakera saana yani

We jaribu kufikiria angekuwa binti yako anachafuliwa hivi ungejiskiaje kama mzazi?


Ujue muda mwingine mtu kama umekosa cha kupost bora ukae kimya kuliko alichofanya huyu bwana mdogo
Hahahaha
Lakin mkuu, kwani warumi si kamoa onyo tu kuwa awe makini!!? Hata yeye haja jumlisha ila amempa precaution, kwa hiyo pia na wewe jaribu kumkanya tunda aachane na huyo jamaa or sista or whatever
 
Back
Top Bottom