Tunda Achana na mlitoz

Tunda Achana na mlitoz

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao kiukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa adabu, kuwa hautarudia kilichotokea,

Hapo nakupa Big Up nakupa hongera kwa kukiri ni kweli ulikuwa unatumia madawa na sasa hivi mpo na akina T.ID na rommy jones kwenye campaign za kuzuia madawa,hiyo imekaa poa,

Kilichonishtua ni ukaribu wako na msagaji maarufu bongo mlitoz, Huyo msichana ana sifa mbaya sana, kashamkoboa sana lulu Michael na mastaa wengine kibao, mashilawadu wanakuona siku hizi uko zero distance na hyo msagaji ,wameniambia nikuonye mdogo wao usiingie huko tena ukaanza kuharibika,

Tunda we bado mdogo na mzuri sana tu, Kama shule umeona hauwezi (maana si mchezo kusoma kipaji kama huna usilazimishe) ni bora ukaweka nguvu zako kwenye u video vixen, modelling hata bongo movie pia unalipa,

Achana na ma group ya hao mashoga na wavuta unga watakuharibia maisha, wewe mwenyewe uliona ulivyokuwa ndani wale ma best zako mnaokunywaga wote ma Moet hawakuwepo, ulikua mwenyewe tu, muulize lulu kuhusu marafiki atakuhadithia, badilika
 
Ni juzi tu umetoka polisi kwa kesi ya madawa ya kulevya, na video clip yako imeonekana kwenye mitandao ki ukweli kutokana na ulivyoongea ni dhahiri kuwa umejifunza kitu,umeongea kwa hisia na kwa adabu,kuwa hautarudia kilichotokea, hapo nakupa Big Up nakupa hongera kwa kukiri ni kweli ulikua unatumia madawa na sasa hivi mpo na akina T.ID na rommy jones kwenye campaign za kuzuia madawa,hiyo imekaa poa, kilichonishtua ni ukaribu wako na msagaji maarufu bongo,mlitoz, huyo msichana ana sifa mbaya sana, kashamkoboa sana lulu Michael na mastaa wengine kibao, mashilawadu wanakuona siku hizi uko zero distance na hyo msagaji ,wameniambia nikuonye mdogo wao usiingie huko tena ukaanza kuharibika, tunda we bado mdogo na mzuri sana tu,kama shule umeona hauwezi (maana si mchezo kusoma kipaji kama huna usilazimishe) ni bora ukaweka nguvu zako kwenye u video vixen,modelling hata bongo movie pia unalipa, achana na ma group ya hao mashoga na wavuta unga watakuaribia maisha,wewe mwenyewe uliona ulivyokua ndani wale ma best zako mnaokunywaga wote ma Moet hawakuwepo,ulikua mwenyewe tu, muulize lulu kuhusu marafiki atakuadithia,badilika
Dah ww jamaa kwa habar za chinichini ww ni zaid ya warumi ila we ni dola ya warumi naona umekuwa source ya habar ya wadaku wengi sana!
 
Kapicha ka Mlitoz tafadhali
ac9117f106159aaeadec7446012cfed0.jpg



mlitozi ni huyo demu nyuma ya tunda
 
Back
Top Bottom