brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Video queen wa bongo fleva Tunda afichua ufaulu wake wa form four toufauti na watu wengi wanaodhani alifeli kwa kupata zero
Tunda akiojiwa na East Africa radio amesema alipata division two ya Mia tano na kusababisha gumzo mtandaoni
Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Tunda amesema kuwa yeye hakufeli kidato cha nne, bali alifaulu kwa wastani wa division two ya mia tano (500), na maongezi yao yalikuwa kama hivi:
Big Chawa: Unaweza ukawaambia watu ulipata zero ya kwanza au four ya mwisho?
Tunda: Aaah wee, babu wee, sijapata zero.
Big Chawa: Ulipata four ya mwisho!?
Tunda: Nilipata division two,
Big Chawa: Two!?, Two ya ngapi!?
Tunda: Two ya mia tano