Tunda afichua ufaulu nilipata division two form four

Tunda afichua ufaulu nilipata division two form four

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Video queen wa bongo fleva Tunda afichua ufaulu wake wa form four toufauti na watu wengi wanaodhani alifeli kwa kupata zero
Tunda akiojiwa na East Africa radio amesema alipata division two ya Mia tano na kusababisha gumzo mtandaoni

Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Tunda amesema kuwa yeye hakufeli kidato cha nne, bali alifaulu kwa wastani wa division two ya mia tano (500), na maongezi yao yalikuwa kama hivi:
Big Chawa: Unaweza ukawaambia watu ulipata zero ya kwanza au four ya mwisho?
Tunda: Aaah wee, babu wee, sijapata zero.
Big Chawa: Ulipata four ya mwisho!?
Tunda: Nilipata division two,
Big Chawa: Two!?, Two ya ngapi!?
Tunda: Two ya mia tano
41449774_157811201790454_6556869417787512806_n.jpeg
 
Hakuna kitu kinakera kama. Mpo kwenye Tukio la maana alafu kuna Mtu ana ki TECNO.. Alafu ndio ana KIHEREHERE CHA KUPIGA PICHA KILA SAA.. Hapo wenye IPhone X unakuta tumekausha tu.
na hakuna kitu kibaya kama kuona watu wasiotumia apple inc brand wakijinadi afu watumiaji wakiwa wametulia kimya#wana take eazy sana #ukiona kwako kumiliki apple brand ni ajabu jua bado unasafari ndefu ya mafanikio
 
Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako anakutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe unatafuta sponsor wakukufundisha umbea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
na hakuna kitu kibaya kama kuona watu wasiotumia apple inc brand wakijinadi afu watumiaji wakiwa wametulia kimya#wana take eazy sana #ukiona kwako kumiliki apple brand ni ajabu jua bado unasafari ndefu ya mafanikio
 
Hakuna kitu kinakera kama. Mpo kwenye Tukio la maana alafu kuna Mtu ana ki TECNO.. Alafu ndio ana KIHEREHERE CHA KUPIGA PICHA KILA SAA.. Hapo wenye IPhone X unakuta tumekausha tu.
Kimfaacho mtu chake,hakuna mahali kumeandikwa wenye tecno wasipige picha,acha ulimbukeni na dharau kwa wenzio
 
Back
Top Bottom