The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Hii mbinu mnayotumia ya vidole nimeshawah isikia kwa binti mmoja hivi, basi itakua ni kweli!, na angalia vidole vyake, anaonekana kajaliwa si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mbinu mnayotumia ya vidole nimeshawah isikia kwa binti mmoja hivi, basi itakua ni kweli!, na angalia vidole vyake, anaonekana kajaliwa si mchezo
Neno ORIGINAL limepoteza maana yake halisi!Nguo za vunjabei ni original usipime wewe
Hahaaa,mi nimesoma nae mzumbe dar,pia kaka ake fadhili primary iringa!Dah aisee huyu jamaa Fredy ninaye muona leo sio yule nilokua namfaham enzi zile iringa nikiwa natembelea pale kwao Mitaa ya samora naenda kucheza na wadogo zake Franco & Felix yy akiwa mdau sana wa basket ball pale viwanja vya kanisa katoliki mshindo.
Siku nakuja kujua Fredy ndio vunja bei nilichoka.
Acha awatumie tu wasanii maana ukikosa akili halafu njaa nayo ikakuandama plus kupenda maisha feki yasiyo level zako ,utakwepa kutumiwa?
Acha achape mpaka akil zikae sawa.
Kwao wazuriiiIla vunja bei handsome , imagine unapata mwanaume kama vunja bei na pesa juu anakupa wee[emoji23][emoji23]
Asilimia kubwa wakinga ni wafanyabiashara,na biashara zao wanajiongeza na ushirikina na kafara kwa sanaHahaaa,mi nimesoma nae mzumbe dar,pia kaka ake fadhili primary iringa!
Sema hii kitu kwao tangu baba yao,bness ipo kwny damu!
Mchina amerahisisha. T-shirt ya Lacoste original bei kuanzia 60k na kuendelea ila kwa mchina unapata kwa 10k ila ukipigwa na jua utatamani uvue maana inavyochoma ngozi sio mchezo 🤣🤣Tshirt 10000 yani inabei sawa na boxer,hiyo sio tshirt ukifua mara moja kola inakua kubwa kama mkufu
Hahaaa tshirt ikifuliwa inakua gauni,mimi na muda sana natumia nguo za turkey,tshirt zao na jeans ni quality sanaMchina amerahisisha. T-shirt ya Lacoste original bei kuanzia 60k na kuendelea ila kwa mchina unapata kwa 10k ila ukipigwa na jua utatamani uvue maana inavyochoma ngozi sio mchezo [emoji1787][emoji1787]
Umaskini usikie tu..Asilimia kubwa wakinga ni wafanyabiashara,na biashara zao wanajiongeza na ushirikina na kafara kwa sana
Ni kweliUmaskini usikie tu..
Mi hata mtu akifanya hayo mambo na hela anapata wala simlaumu.
kuna siku nilitumwa jezi na jamaa yangu nikafika pale kkoo kwenye duka lake karibu na msikiti.
kulikuwa na watu wengi balaa,ila wakinga bana sio watu wa mchezo mchezo[emoji16][emoji16][emoji16].
ahaaaaaaa pamoja sana mkuu.Respect the hustle ..sio kila kitu mnakuwa na negative Mind.
Hilo duka lilopo karibu na Msikiti ni LA David sio Fred Vunja bei naona umewachanganya.
Vijana wa kikinga naona wanakimbiza sana k/koo.
Nina mshikaji wangu nae ni Mkinga nilipiga nae advance anamiliki duka la Nguo Sinza ananiambia after 3/4 years atakuwa level hizo za kina Fred.
Wakinga wanapeana sana connection pale k/koo.
Splash ananguo nzuri sana za turkey,tulishasahau nguo za china kitambo
Mlimani city,arusha pia wako TFA complex
Jamaa ka-trend saiv
![]()
How ‘Fred Vunjabei’ built a Sh4bn business empire at 33
While it is everyone’s dream to succeed in life, some people are luckier than others when it comes to achieving their life goals - with some doing so earlier than others.t.co
TUPIA PICHA YAKE WARUMI MIMI SIMJUI 😉Ila vunja bei handsome , imagine unapata mwanaume kama vunja bei na pesa juu anakupa wee[emoji23][emoji23]
Ila wee binamu mpana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeshaenda maduka ya vunja bei au unaropoka, nguo anauza hadi elfu nne nguo gan hizo mxiiew , anauza malonya lonya ya washamba,