Tunda afungua Duka la Nguo...

Tunda afungua Duka la Nguo...

Dah aisee huyu jamaa Fredy ninaye muona leo sio yule nilokua namfaham enzi zile iringa nikiwa natembelea pale kwao Mitaa ya samora naenda kucheza na wadogo zake Franco & Felix yy akiwa mdau sana wa basket ball pale viwanja vya kanisa katoliki mshindo.
Siku nakuja kujua Fredy ndio vunja bei nilichoka.

Acha awatumie tu wasanii maana ukikosa akili halafu njaa nayo ikakuandama plus kupenda maisha feki yasiyo level zako ,utakwepa kutumiwa?
Acha achape mpaka akil zikae sawa.

Ila vunja bei handsome , imagine unapata mwanaume kama vunja bei na pesa juu anakupa wee[emoji23][emoji23]
 
Yaani kumiliki duka la nguo bongo hapa ni kazi kiasi hicho hadi useme sio lake?
tushangae wote mkuu,

kufungua duka unakuja kumfungulia thread mtu

halafu hii ya kusema flani hawezi kufanya kitu huu ni uchawi kwanza na uzandiki wa hali ya juu

afungue na la kwake aje afunguliwe thread
 
Ila vunja bei handsome , imagine unapata mwanaume kama vunja bei na pesa juu anakupa wee[emoji23][emoji23]
Au imagine unapata handsome kama mimi!!!!vunja bei akasome.😁
 
Au imagine unapata handsome kama mimi!!!!vunja bei akasome.[emoji16]

IMG_8208.jpg

Vunja bei anaonekana shughul anaiweza haswaa [emoji16], check lilivyo kwanza , na angalia vidole vyake, anaonekana kajaliwa si mchezo[emoji16]
 
View attachment 1611285
Vunja bei anaonekana shughul anaiweza haswaa [emoji16], check lilivyo kwanza , na angalia vidole vyake, anaonekana kajaliwa si mchezo[emoji16]
Warumi papu** ishalowa i guess..aisee hakuna mwanamke asiyependa hela,angekuwa kapuku ungegeuza kibao na kusema kibenten kinaoga vizuri kutega mijimama
 
Hahahah nguo za elfu 10 lazma ziwe substandard tu.

Mfanyabiashara focus yake ni faida.
Akila buku 3 katika kila nguo sio kesi anasogea na bei ikiwa flat rate possibility ya kutengeneza pesa ya kutosha ni kubwa sana ukiwa mjanja mjanja.

Fredy amejua kucheza na key
Kila mtu anatarget market yake.. mimi nadhani hizo nguo za elfu kumi ni zavijana wasio na uwezo mkubwa kifedha.

Nawapo wengi, hivyo kawatarget hao.
 
Kila mtu anatarget market yake.. mimi nadhani hizo nguo za elfu kumi ni zavijana wasio na uwezo mkubwa kifedha.

Nawapo wengi, hivyo kawatarget hao.
Eeh masela kama makonda, madereva, mafundi seremala na watu wa class hio hasa vijana ambao ndio wanauanza ujana...ule upepo wa kuwa smart bishololo 😂😂😂
 
Huku uswahilini ukimfungulia dada genge la kuuza vitunguu tu, lazima ule mzigo mpaka uombe poo. Duka lote la nini?
 
Back
Top Bottom