Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Sasa akifungua sisi inatuhusu nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah aisee huyu jamaa Fredy ninaye muona leo sio yule nilokua namfaham enzi zile iringa nikiwa natembelea pale kwao Mitaa ya samora naenda kucheza na wadogo zake Franco & Felix yy akiwa mdau sana wa basket ball pale viwanja vya kanisa katoliki mshindo.
Siku nakuja kujua Fredy ndio vunja bei nilichoka.
Acha awatumie tu wasanii maana ukikosa akili halafu njaa nayo ikakuandama plus kupenda maisha feki yasiyo level zako ,utakwepa kutumiwa?
Acha achape mpaka akil zikae sawa.
tushangae wote mkuu,Yaani kumiliki duka la nguo bongo hapa ni kazi kiasi hicho hadi useme sio lake?
Au imagine unapata handsome kama mimi!!!!vunja bei akasome.😁Ila vunja bei handsome , imagine unapata mwanaume kama vunja bei na pesa juu anakupa wee[emoji23][emoji23]
Mtunuku tu mkuu akufungulie duka.wakinga hawa ila ukumbuke.😅View attachment 1611285
Vunja bei anaonekana shughul anaiweza haswaa [emoji16], check lilivyo kwanza , na angalia vidole vyake, anaonekana kajaliwa si mchezo[emoji16]
GSM mall piaMlimani city,arusha pia wako TFA complex
Warumi papu** ishalowa i guess..aisee hakuna mwanamke asiyependa hela,angekuwa kapuku ungegeuza kibao na kusema kibenten kinaoga vizuri kutega mijimamaView attachment 1611285
Vunja bei anaonekana shughul anaiweza haswaa [emoji16], check lilivyo kwanza , na angalia vidole vyake, anaonekana kajaliwa si mchezo[emoji16]
Wakinga si naskia ni wabaili kinyama?..Mtunuku tu mkuu akufungulie duka.wakinga hawa ila ukumbuke.[emoji28]
Ahahaha...mkuu mi sitaki kurusha mawe kwenye mzinga wa nyuki wakati sina mbio 😂😂😂Wakinga si naskia ni wabaili kinyama?..
Kila mtu anatarget market yake.. mimi nadhani hizo nguo za elfu kumi ni zavijana wasio na uwezo mkubwa kifedha.Hahahah nguo za elfu 10 lazma ziwe substandard tu.
Mfanyabiashara focus yake ni faida.
Akila buku 3 katika kila nguo sio kesi anasogea na bei ikiwa flat rate possibility ya kutengeneza pesa ya kutosha ni kubwa sana ukiwa mjanja mjanja.
Fredy amejua kucheza na key
Eeh masela kama makonda, madereva, mafundi seremala na watu wa class hio hasa vijana ambao ndio wanauanza ujana...ule upepo wa kuwa smart bishololo 😂😂😂Kila mtu anatarget market yake.. mimi nadhani hizo nguo za elfu kumi ni zavijana wasio na uwezo mkubwa kifedha.
Nawapo wengi, hivyo kawatarget hao.
We tena dada yangu kila mwanaume mwenye hela kwako ni handsome.Ila vunja bei handsome , imagine unapata mwanaume kama vunja bei na pesa juu anakupa wee[emoji23][emoji23]
HahaIpatie picha jeans iliyotengenezwa na kuingizwa nchini kwa sh.10000 tu za Tanzania