Tunda afungua Duka la Nguo...

Hahaaa,mi nimesoma nae mzumbe dar,pia kaka ake fadhili primary iringa!
Sema hii kitu kwao tangu baba yao,bness ipo kwny damu!
 
Hahaaa,mi nimesoma nae mzumbe dar,pia kaka ake fadhili primary iringa!
Sema hii kitu kwao tangu baba yao,bness ipo kwny damu!
Asilimia kubwa wakinga ni wafanyabiashara,na biashara zao wanajiongeza na ushirikina na kafara kwa sana
 
Tshirt 10000 yani inabei sawa na boxer,hiyo sio tshirt ukifua mara moja kola inakua kubwa kama mkufu
Mchina amerahisisha. T-shirt ya Lacoste original bei kuanzia 60k na kuendelea ila kwa mchina unapata kwa 10k ila ukipigwa na jua utatamani uvue maana inavyochoma ngozi sio mchezo 🤣🤣
 
Mchina amerahisisha. T-shirt ya Lacoste original bei kuanzia 60k na kuendelea ila kwa mchina unapata kwa 10k ila ukipigwa na jua utatamani uvue maana inavyochoma ngozi sio mchezo [emoji1787][emoji1787]
Hahaaa tshirt ikifuliwa inakua gauni,mimi na muda sana natumia nguo za turkey,tshirt zao na jeans ni quality sana
 
kuna siku nilitumwa jezi na jamaa yangu nikafika pale kkoo kwenye duka lake karibu na msikiti.

kulikuwa na watu wengi balaa,ila wakinga bana sio watu wa mchezo mchezo[emoji16][emoji16][emoji16].
 
kuna siku nilitumwa jezi na jamaa yangu nikafika pale kkoo kwenye duka lake karibu na msikiti.

kulikuwa na watu wengi balaa,ila wakinga bana sio watu wa mchezo mchezo[emoji16][emoji16][emoji16].

Respect the hustle ..sio kila kitu mnakuwa na negative Mind.
Hilo duka lilopo karibu na Msikiti ni LA David sio Fred Vunja bei naona umewachanganya.
Vijana wa kikinga naona wanakimbiza sana k/koo.
Nina mshikaji wangu nae ni Mkinga nilipiga nae advance anamiliki duka la Nguo Sinza ananiambia after 3/4 years atakuwa level hizo za kina Fred.
Wakinga wanapeana sana connection pale k/koo.
 
ahaaaaaaa pamoja sana mkuu.
 
Umeshaenda maduka ya vunja bei au unaropoka, nguo anauza hadi elfu nne nguo gan hizo mxiiew , anauza malonya lonya ya washamba,
Ila wee binamu mpana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…