Tunda ananikwaza na tabia yake ya kujiachia achia hovyo na midume na kupiga picha za nusu utupu

Ww nawe nani kakuambia tuna haja yakuziona hizo picha, ww ndiyo unazidi kumuanika eti unajifanya kusikitika unafiki tu angekuwa mwanao ameharibika ungerusha hizi picha?
Joined march 2017 ,Karibu jamii forums
 
Siku zote binti akiwa mrembo halafu upstairs hapatoshi, pale mahala pa nyeti huwa panasulubiwa sana.
 
Watu wanafaidi aisee
 
Yuko na david hapo...
Jamaa hana madhara kabisa

fr though
 
Mwanaume kwa maana ya Mwanaume, haangaikaki na vijitu vya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…