Tunda la mzeituni

Ila nilivoelezea ni ukweli tunda hilo ni kufanyana japo unapindisha mzee baba
Pia nilikua nafikiri kama wewe lakini niliposoma Biblia mwenyewe ndipo nikajua haikuwa hivyo
 
Sasa kama lugha ya Biblia iko hivyo mbona mnashindwa kutafsiri kibiblia maana ya tunda alilokula Adam???--- nyinyi mnadhani alikula tunda in literal sense?!!!.

Mbona Yesu kisha toa maana ya tunda na mti kibibilia.
Hapo ndo nashangaa afu anasema eti tangu wale lile tunda halipo tena duniani

Ukiuliza kwanini wale tunda then adhabu itolewe ya kuzaa kwa uchungu na kula kwa jasho.

Same things are very difficult to understanding.
 


Mkuu kitu cha kwanza unachohitaji kujua ni Adamu hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani, jambo hili limechukuliwa kimakosa na watu wengi sana kwamba Adam alikuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa.

Pia unatakiwa ujue kwamba sio kila andiko la Biblia au vitabu vitakatifu kama Qur'an laweza kuchukuliwa kama lilivyo (literally) , kuhusu tunda alilokula Adam haina maana ni tunda la dhahiri kama pera, chungwa nk, la hasha. Tunda katika lugha ya kiroho ni matokeo yatokanayo na matendo ya mtu, mfano mtu mwema huzaa matendo mema na mtu mbaya huzaa matendo mabaya, hivyo mti ni sawa na mtu na matunda ni sawa na matendo, hivyo Adam alikatazwa na Mungu kushiriki matendo mabaya ya watu wabaya wa zama hizo, kumbuka Adam hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa bali yeye alikuwa mtu wa kwanza kuwasiliana na Mungu na watu wengine waliomzunguka katika jamii aliyokuwa anaishi wengi wao walikuwa waovu kama Ibilisi.

Hebu tusome jinsi Nabii Yesu (as), bingwa wa kauli za mifano, anavyojenga hoja ya mti na matunda na mwisho akatoa ufafanuzi wake; katika (Luka 6:43-45) Yesu anasema:-

Mti mzuri hauzai matunda mabaya wala mti mbaya hauzai matunda mema, kwakuwa kila mti hujulikana kwa matunda yake, kwakuwa watu hawavuni matini kutoka kwenye miba wala hawavuni zabibu kutoka kwenye-----.

Hapo sasa utaona Yesu kafafanua nini maana ya mti na matunda.
 
Zeituni sio tunda walilokula Adam na Eva. Na isitoshe, halikuwa na jina zaidi ya " Tunda la Mtu uliokuwa katikati ya bustani ya Eden". Acha kupotosha. Maandiko Matakatifu.
 
Hapo ndo nashangaa afu anasema eti tangu wale lile tunda halipo tena duniani

Ukiuliza kwanini wale tunda then adhabu itolewe ya kuzaa kwa uchungu na kula kwa jasho.

Same things are very difficult to understanding.


Some things are also easy to understand only you have to know the way through.
 
Samahani mkuu, hio laana ilienda hadi kwa wnyama, mbona hawaishi milele au kuna kitu walikosa.
 
Tunda tunaloambiwa walikula nilakutambua mema na mabaya na siyo tunda la uzima so Kama ni kifo kitakuwa kilikuwepo Ila waliishi miaka mingi lakini kadili maovu yanavyozidi duniani ndo tunavyozidi kupunguziwa miaka pia kutokutumia Edeni kunakuchosha mapema, kuhusu viumbe kupitia magumu Kama sisi nikwavile ardhi yote imelaaniwa hata wanayoishi wao na upendeleo tangu mwanzo Mungu alimpa binadamu kutawala na wao hawakula tunda ndo maana hawana utambuzi wa mema na mabaya.
 
Jinsi nlivyokula tunda kimaskhara......hii ni moja ya thread ilivuma sana humu.
 
Kwanini huo mti ulipandwa katikati ya bustani na kama matunda yake hayaliwi kwanini ulipandwa kwenye ile bustani?
 
Tunda lilisimama kama alama ya utii, walipoacha kumtii Mungu ndipo walipewa adhabu.
Tuendelee boss

Kwahiyo neno tunda ni utii sio?
Ambapo ukikosa kutii sharti upewe adhabu!

Sasa unazani katika Maelezo kosa la Adam na Hawa ilikuwa ni kuvunja utii (tunda) wa namna gani mpaka wapewe adhabu ya milele?
 
Kwanini huo mti ulipandwa katikati ya bustani na kama matunda yake hayaliwi kwanini ulipandwa kwenye ile bustani?
Mimi nafikiri kupunguza makali katk biblia badala ya kutaja vikojoleo wakasema mti wa katikati.
 
Jina la tunda hilo ni lipi mkuu?
 
Samahani mkuu, hio laana ilienda hadi kwa wnyama, mbona hawaishi milele au kuna kitu walikosa.
Asante swali zuri nasubiri na Mimi jibu,

Haiwezekani tunda litafunwe na binadamu laana iwafikie hadi wanyama,, kama sio tunda hilo ni vikojoleo.
 
Zeituni sio tunda walilokula Adam na Eva. Na isitoshe, halikuwa na jina zaidi ya " Tunda la Mtu uliokuwa katikati ya bustani ya Eden". Acha kupotosha. Maandiko Matakatifu.
Kwa uhalisia wa habari zenyewe unahisi hilo tunda lipoje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…