Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Pia nilikua nafikiri kama wewe lakini niliposoma Biblia mwenyewe ndipo nikajua haikuwa hivyoIla nilivoelezea ni ukweli tunda hilo ni kufanyana japo unapindisha mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia nilikua nafikiri kama wewe lakini niliposoma Biblia mwenyewe ndipo nikajua haikuwa hivyoIla nilivoelezea ni ukweli tunda hilo ni kufanyana japo unapindisha mzee baba
Asante mkuu.karibu mkuu nikuhudumie
Hapo ndo nashangaa afu anasema eti tangu wale lile tunda halipo tena dunianiSasa kama lugha ya Biblia iko hivyo mbona mnashindwa kutafsiri kibiblia maana ya tunda alilokula Adam???--- nyinyi mnadhani alikula tunda in literal sense?!!!.
Mbona Yesu kisha toa maana ya tunda na mti kibibilia.
Adam alikuja kungonoka na mkewe baadae sana wakiwa wameshakula tunda na adhabu kupitaHebu fafanua sasa
Tunda hili navyosikia ndio tunda walilokula Adam na Hawa na ndio hilihili Mungu aliwakataza wasile.
Kama ni Kweli hilo ndio tunda lenyewe naomba nielezee kidogo na kama sitakuwa sahihi mnisahihishe.
Kwanijuavyo ni kuwa maana ya lile tunda walilokatazwa ni kutokufanyana, kwa bahati mbaya wakafanyana na Mungu akawaambia mtazaa kwa uchungu nawe mwanaume mtakula kwa jasho ndio ukawa mwanzo wa kuzaliana mpaka leo kisa tunda (utamu)
Sasa hili tunda la mzeituni ambalo watu ndio wanasema walikatazwa Adam na Hawa wasile na ndio linauzwa dar kwa sh4000/= , hili ni la wapi? Je, ukila hautodhurika? Hamna tafsiri au maana ya ukila hilo tunda la mzeituni?. Mnaojua mtupe matumizi ya hilo tunda na ni kwa nini linauzwa bei kubwa hivyo kuzidi tufaa?
Kama tunda alilowakataza Adam na Hawa linaitwa mzeituni kwanini walipewa adhabu ile? Kwa nini waliambiwa wakaijaze dunia? Kwa nini maandiko mengi ya Biblia inakataza usizini? Je, hamuoni hiyo ndio ilikuwa dhambi ya asili (kuzini) na wala sio kula lile tunda la mzeituni linalouzwa Dar 4000/=?
Kama ni tunda hilo (mzeituni) ndio walikatazwa na sisi tumelijua kwanini bado tunakula?.
Nakaribisha muongozo.
Hapo ndo nashangaa afu anasema eti tangu wale lile tunda halipo tena duniani
Ukiuliza kwanini wale tunda then adhabu itolewe ya kuzaa kwa uchungu na kula kwa jasho.
Same things are very difficult to understanding.
Samahani mkuu, hio laana ilienda hadi kwa wnyama, mbona hawaishi milele au kuna kitu walikosa.Eneo hilohilo kulikuwa na miti miwili, mti wa ujuzi wa mema na mabaya pamoja na mti wa uzima.
Baada ya wazee wetu kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya walisahau kula pamoja na mti wa uzima ili adhabu za Mungu zishindwe kufanya kazi.
Hivyo wao wakati wakiduwaa kwa maarifa waliyopata Mungu aliwahi fasta kuweka makerubi pamoja na mapanga makubwa ya moto kuzunguka bustani yote ili wasije wakatwaa matunda ya mti wa uzima wakala mwisho waje kuwa tanzi na fedheha kwa Mungu.... Mstari ulionukuu ni maneno ya Mungu kuepusha wanadamu wasiishi milele wakiwa na maarifa waliyoyapata baada ya kula lile tunda la ujuzi/maarifa
Hivyo mkuu wangu kabla wazee hawajala tunda tulikuwa na guarantee ya kuishi milele.
Baada ya kula tunda ile ofa ya kuishi milele ikapotea japo kulikuwa na chance ya wazee wetu kupora matunda ya uzima wale ambapo leo hii tungekuwa tunaishi milele tukiwa na maarifa yetu hayahaya..... Bahati mbaya shetani hakuwashawishi wazee wetu wale pamoja na matunda ya mti wa uzima kitu ambacho lilimpa Mungu nafasi ya kuja kuweka ulinzi kwenye huo mti
Imagine wangekula matunda yote mkuu ingekuwa burudani ajee 😊😊
Samahani mkuu, hio laana ilienda hadi kwa wnyama, mbona hawaishi milele au kuna kitu walikosa.
Jinsi nlivyokula tunda kimaskhara......hii ni moja ya thread ilivuma sana humu.Tunda hili navyosikia ndio tunda walilokula Adam na Hawa na ndio hilihili Mungu aliwakataza wasile.
Kama ni Kweli hilo ndio tunda lenyewe naomba nielezee kidogo na kama sitakuwa sahihi mnisahihishe.
Kwanijuavyo ni kuwa maana ya lile tunda walilokatazwa ni kutokufanyana, kwa bahati mbaya wakafanyana na Mungu akawaambia mtazaa kwa uchungu nawe mwanaume mtakula kwa jasho ndio ukawa mwanzo wa kuzaliana mpaka leo kisa tunda (utamu)
Sasa hili tunda la mzeituni ambalo watu ndio wanasema walikatazwa Adam na Hawa wasile na ndio linauzwa dar kwa sh4000/= , hili ni la wapi? Je, ukila hautodhurika? Hamna tafsiri au maana ya ukila hilo tunda la mzeituni?. Mnaojua mtupe matumizi ya hilo tunda na ni kwa nini linauzwa bei kubwa hivyo kuzidi tufaa?
Kama tunda alilowakataza Adam na Hawa linaitwa mzeituni kwanini walipewa adhabu ile? Kwa nini waliambiwa wakaijaze dunia? Kwa nini maandiko mengi ya Biblia inakataza usizini? Je, hamuoni hiyo ndio ilikuwa dhambi ya asili (kuzini) na wala sio kula lile tunda la mzeituni linalouzwa Dar 4000/=?
Kama ni tunda hilo (mzeituni) ndio walikatazwa na sisi tumelijua kwanini bado tunakula?.
Nakaribisha muongozo.
Tunda lilisimama kama alama ya utii, walipoacha kumtii Mungu ndipo walipewa adhabu.
Tuendelee bossTunda lilisimama kama alama ya utii, walipoacha kumtii Mungu ndipo walipewa adhabu.
Jina la tunda hilo ni lipi mkuu?Tunda tunaloambiwa walikula nilakutambua mema na mabaya na siyo tunda la uzima so Kama ni kifo kitakuwa kilikuwepo Ila waliishi miaka mingi lakini kadili maovu yanavyozidi duniani ndo tunavyozidi kupunguziwa miaka pia kutokutumia Edeni kunakuchosha mapema, kuhusu viumbe kupitia magumu Kama sisi nikwavile ardhi yote imelaaniwa hata wanayoishi wao na upendeleo tangu mwanzo Mungu alimpa binadamu kutawala na wao hawakula tunda ndo maana hawana utambuzi wa mema na mabaya.
Asante swali zuri nasubiri na Mimi jibu,Samahani mkuu, hio laana ilienda hadi kwa wnyama, mbona hawaishi milele au kuna kitu walikosa.