Tuendelee boss
Kwahiyo neno tunda ni utii sio?
Katika Ulimwengu wa kiroho kuna kuchagua na uamuzi unakuwa wa kwako. Maisha unavyoishi unafungua milango mbalimbali unafanya maamuzi wewe kama wewe . Adhabu unayosema ni mtazamo, tulichagua (physical body) maisha ya kimwili yenye mahitaji na hisia na pia inazeeka na kufa, Ndio maana cha kwanza Adam na Eva waligundua wako uchi, wakajifunika. Pia wakaona aibu kwa hali ya kimwili wakajificha waliposikia sauti ya Mungu.Tuendelee boss
Kwahiyo neno tunda ni utii sio?
Ambapo ukikosa kutii sharti upewe adhabu!
Sasa unazani katika Maelezo kosa la Adam na Hawa ilikuwa ni kuvunja utii (tunda) wa namna gani mpaka wapewe adhabu ya milele?
Biblia hainaga kufichaficha,walivyosema tunda lilikuwa tunda halisi na SI vinginevyo,halafu hakuna anaejua lilikuwa tunda gani wanaoteaotea tu mara waseme apple mara komamanga...so zeituni lisikupe tabu Ni tunda tu Kama matunda mengine wamelipa tu thamani wananzengo.
Mkuu nahitaji hii miche very serious tujadili PM tafadhali...pia kama una komamanga miche yakeNa mimi nauza miche ya mizeituni,sh 2000/=(rejected) Na Zaituni za muda mfupi 7000.Nipo SUA.
Ukute na huo mti ulikatwa siku wanafukuzwa bustani ukachomwa na Moto kabisa. ...ila wananzengo wakiamua yao,yaani tunda elfu kumi kweli?kha!yah mana hata tunda la kiwi [emoji1650] linauzwa beii.... elfu tatu mpk tano. doriani halkadhalika bei elfu tano mpk elfu kumi kwa tunda moja...... ni thamani tu wameamua wanazengo........ mie naamini lile tunda hali exsist tena kwenye maisha haya ya corona tunoishi sasa
Tunda la kawaida tu, ingekuwa lina madhara tungekatazwa kama adam na bibie eva walivyokatazwa..Hakuna kitakacho batilisha hiyo ni laana ya asili,,,
Isipokuwa tu tunda hilo huenda ukila utafunguka mengine! (Nilivokuwa nawaza)
Lkn sina uhakika ndio maana nikawataka wadau wanifafanulie je! Lina siri nyingine? Au la kawaida tukm tufaa, chungwa, nanasi n.k?
Inastamili katika aridhi yanye kiwango cha joto kiasi gani, kwa mfano hapa Dodoma linaweza likastawi?Na mimi nauza miche ya mizeituni,sh 2000/=(rejected) Na Zaituni za muda mfupi 7000.Nipo SUA.
Je zinaweza kustawi Singida na Dodoma ?tufanye muamalaNa mimi nauza miche ya mizeituni,sh 2000/=(rejected) Na Zaituni za muda mfupi 7000.Nipo SUA.
Mkuu hiko kitu walicho kaidi ni kipi? Walifanya vinini (ondoa kula tunda)Tunda la kawaida tu, ingekuwa lina madhara tungekatazwa kama adam na bibie eva walivyokatazwa..
Laana haikuwa kwenye tunda, laana ni kukaid amri ya muumba..
Mola katuumba ni uamuzi wake kutupa amri anazotaka yeye sio tutakazo sisi, ni kama vile mdngi wako akikwambia kwangu kula mwisho ni saa 1 usiku, haiamaanishi ukila saa 2 kitakupalia, la hasha ni amri yake, ukila saa 2 anaweza kukupa adhabu anayoona inastahili kwa sababu umemkosea adabu..
Laana haiko kwenye tunda, laana ilisababishwa na ukaidi wa kula tunda walilokatazwa.
Angeweza kuwakataza kula apple, embe etc etc.. Kile kilikuwa ni kipimo tu.
Mkuu sio hatutaki kufa ujue nini,Hivi kwanini watu hawataki kufa? Kwanini usiombee neema tu yakuwa mzee ili ulee watoto wako alafu Mungu ndo akuchukue bila mateso yaani ukiwa umelala, maana tunaambiwa kinachotakiwa ni kutenda mema ili twende mbinguni tukakaae na Mungu kwa raha.