Tunda la mzeituni

Tunda la mzeituni

Biblia ukiisoma kama gazeti utapata ujumbe wa kigazetigazeti hivyo hivyo
 
Tuendelee boss

Kwahiyo neno tunda ni utii sio?

Tuendelee boss

Kwahiyo neno tunda ni utii sio?
Ambapo ukikosa kutii sharti upewe adhabu!

Sasa unazani katika Maelezo kosa la Adam na Hawa ilikuwa ni kuvunja utii (tunda) wa namna gani mpaka wapewe adhabu ya milele?
Katika Ulimwengu wa kiroho kuna kuchagua na uamuzi unakuwa wa kwako. Maisha unavyoishi unafungua milango mbalimbali unafanya maamuzi wewe kama wewe . Adhabu unayosema ni mtazamo, tulichagua (physical body) maisha ya kimwili yenye mahitaji na hisia na pia inazeeka na kufa, Ndio maana cha kwanza Adam na Eva waligundua wako uchi, wakajifunika. Pia wakaona aibu kwa hali ya kimwili wakajificha waliposikia sauti ya Mungu.
 
Biblia hainaga kufichaficha,walivyosema tunda lilikuwa tunda halisi na SI vinginevyo,halafu hakuna anaejua lilikuwa tunda gani wanaoteaotea tu mara waseme apple mara komamanga...so zeituni lisikupe tabu Ni tunda tu Kama matunda mengine wamelipa tu thamani wananzengo.
 
Mti wa mema na mabaya so matunda yake yanaitwa mema na mabaya.
 
Hivi kwanini watu hawataki kufa? Kwanini usiombee neema tu yakuwa mzee ili ulee watoto wako alafu Mungu ndo akuchukue bila mateso yaani ukiwa umelala, maana tunaambiwa kinachotakiwa ni kutenda mema ili twende mbinguni tukakaae na Mungu kwa raha.
 
Biblia hainaga kufichaficha,walivyosema tunda lilikuwa tunda halisi na SI vinginevyo,halafu hakuna anaejua lilikuwa tunda gani wanaoteaotea tu mara waseme apple mara komamanga...so zeituni lisikupe tabu Ni tunda tu Kama matunda mengine wamelipa tu thamani wananzengo.

yah mana hata tunda la kiwi [emoji1650] linauzwa beii.... elfu tatu mpk tano. doriani halkadhalika bei elfu tano mpk elfu kumi kwa tunda moja...... ni thamani tu wameamua wanazengo........ mie naamini lile tunda hali exsist tena kwenye maisha haya ya corona tunoishi sasa
 
Ukute na huo mti ulikatwa siku wanafukuzwa bustani ukachomwa na Moto kabisa. ...ila wananzengo wakiamua yao,yaani tunda elfu kumi kweli?kha!
 
Hakuna kitakacho batilisha hiyo ni laana ya asili,,,

Isipokuwa tu tunda hilo huenda ukila utafunguka mengine! (Nilivokuwa nawaza)

Lkn sina uhakika ndio maana nikawataka wadau wanifafanulie je! Lina siri nyingine? Au la kawaida tukm tufaa, chungwa, nanasi n.k?
Tunda la kawaida tu, ingekuwa lina madhara tungekatazwa kama adam na bibie eva walivyokatazwa..

Laana haikuwa kwenye tunda, laana ni kukaid amri ya muumba..

Mola katuumba ni uamuzi wake kutupa amri anazotaka yeye sio tutakazo sisi, ni kama vile mdngi wako akikwambia kwangu kula mwisho ni saa 1 usiku, haiamaanishi ukila saa 2 kitakupalia, la hasha ni amri yake, ukila saa 2 anaweza kukupa adhabu anayoona inastahili kwa sababu umemkosea adabu..

Laana haiko kwenye tunda, laana ilisababishwa na ukaidi wa kula tunda walilokatazwa.
Angeweza kuwakataza kula apple, embe etc etc.. Kile kilikuwa ni kipimo tu.
 
Na mimi nauza miche ya mizeituni,sh 2000/=(rejected) Na Zaituni za muda mfupi 7000.Nipo SUA.
Inastamili katika aridhi yanye kiwango cha joto kiasi gani, kwa mfano hapa Dodoma linaweza likastawi?
 
Hakuna dhambi ya asili jua hilo Dhambi nimatendo yako uyatendayo na maneno yoko yale yasiyompendeza Mungu. Nawe utahukumiwamkwayo
 
Hebu itetee point yako vizuri.
 
Tunda la kawaida tu, ingekuwa lina madhara tungekatazwa kama adam na bibie eva walivyokatazwa..

Laana haikuwa kwenye tunda, laana ni kukaid amri ya muumba..

Mola katuumba ni uamuzi wake kutupa amri anazotaka yeye sio tutakazo sisi, ni kama vile mdngi wako akikwambia kwangu kula mwisho ni saa 1 usiku, haiamaanishi ukila saa 2 kitakupalia, la hasha ni amri yake, ukila saa 2 anaweza kukupa adhabu anayoona inastahili kwa sababu umemkosea adabu..

Laana haiko kwenye tunda, laana ilisababishwa na ukaidi wa kula tunda walilokatazwa.
Angeweza kuwakataza kula apple, embe etc etc.. Kile kilikuwa ni kipimo tu.
Mkuu hiko kitu walicho kaidi ni kipi? Walifanya vinini (ondoa kula tunda)
 
Ukute na huo mti ulikatwa siku wanafukuzwa bustani ukachomwa na Moto kabisa. ...ila wananzengo wakiamua yao,yaani tunda elfu kumi kweli?kha!
Ulichomwa moto?
 
Hivi kwanini watu hawataki kufa? Kwanini usiombee neema tu yakuwa mzee ili ulee watoto wako alafu Mungu ndo akuchukue bila mateso yaani ukiwa umelala, maana tunaambiwa kinachotakiwa ni kutenda mema ili twende mbinguni tukakaae na Mungu kwa raha.
Mkuu sio hatutaki kufa ujue nini,

Kuna vitu lazima uvijue ungali hao walau hata nusu uelewa.

Tunapokuwa watoto tunapata mafunzo mengi ambapo ukikua hayabanduki akilini.

Sasa basi no vema ushakua uchambue mojamoja walau.

Mifano kuna ile cinema ya yesu. Watoto wengi wanajua yule ndie halisi lkn sio Bali ni muigizaji tu.

Nazani hata wewe mafunzo ya Adam na hawa uliyasikia hivo si vibaya kuyajua kiundani.
 
Back
Top Bottom