Hapana maana baada ya kula tunda ndiyo adam na eva wakajijua kuwa wako uchi, so haihusiani na tunda la ngono, kama ni tunda la ngono basi wangeshakua wanajijua wapo uchi na wakatamaniana wakalanaAsante kidogo nimeelewa sema tu walitumia neno tunda kupunguza makali ila kiuhalisia ni ngono
Sema pia umelalia hoja moja yani umeleta mada lakini tayari kichwani una majibu yako, usilalie kwenye hoja kuwa ni tunda la ngono tu, kuna ufafanuzi mzuri umepita huko juu lakini umekataa kukubali, hao watu Adamu na Eva hawakujijua kama wapo uchi ni baada ya kula tunda lile, je walitamaniana vipi wakati walikua hawajui kama kuna uchiKidogo unaeleza vzur
Adamu hakuwa mtu wa kwanza nawe ndiyo umepotoka mzee, kivipi Adamu na Eva hawakuwa sio watu wa kwanza, wakati Mungu alipomuumba Adamu akasema ninaona nikulete msaadizi ambapo Eva alitoka ubavuni mwa Adamu, au unataka kuniambia Eva uzao wake ulitoka wapiMkuu kitu cha kwanza unachohitaji kujua ni Adamu hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani, jambo hili limechukuliwa kimakosa na watu wengi sana kwamba Adam alikuwa ni mtu wa kwanza kuumbwa.
Pia unatakiwa ujue kwamba sio kila andiko la Biblia au vitabu vitakatifu kama Qur'an laweza kuchukuliwa kama lilivyo (literally) , kuhusu tunda alilokula Adam haina maana ni tunda la dhahiri kama pera, chungwa nk, la hasha. Tunda katika lugha ya kiroho ni matokeo yatokanayo na matendo ya mtu, mfano mtu mwema huzaa matendo mema na mtu mbaya huzaa matendo mabaya, hivyo mti ni sawa na mtu na matunda ni sawa na matendo, hivyo Adam alikatazwa na Mungu kushiriki matendo mabaya ya watu wabaya wa zama hizo, kumbuka Adam hakuwa mtu wa kwanza kuumbwa bali yeye alikuwa mtu wa kwanza kuwasiliana na Mungu na watu wengine waliomzunguka katika jamii aliyokuwa anaishi wengi wao walikuwa waovu kama Ibilisi.
Hebu tusome jinsi Nabii Yesu (as), bingwa wa kauli za mifano, anavyojenga hoja ya mti na matunda na mwisho akatoa ufafanuzi wake; katika (Luka 6:43-45) Yesu anasema:-
Mti mzuri hauzai matunda mabaya wala mti mbaya hauzai matunda mema, kwakuwa kila mti hujulikana kwa matunda yake, kwakuwa watu hawavuni matini kutoka kwenye miba wala hawavuni zabibu kutoka kwenye-----.
Hapo sasa utaona Yesu kafafanua nini maana ya mti na matunda.
Kuna walokole husema nilikuwa katikati ya maombi nikatokewa na Yesu,muulize Sasa Ni Yesu yupi eti was kwenyevcinema😅Mkuu sio hatutaki kufa ujue nini,
Kuna vitu lazima uvijue ungali hao walau hata nusu uelewa.
Tunapokuwa watoto tunapata mafunzo mengi ambapo ukikua hayabanduki akilini.
Sasa basi no vema ushakua uchambue mojamoja walau.
Mifano kuna ile cinema ya yesu. Watoto wengi wanajua yule ndie halisi lkn sio Bali ni muigizaji tu.
Nazani hata wewe mafunzo ya Adam na hawa uliyasikia hivo si vibaya kuyajua kiundani.
Ni kweli kuna upotoshaji Kwenye hili, watu wana weka akili yao tu juu ya ngonoZeituni sio tunda walilokula Adam na Eva. Na isitoshe, halikuwa na jina zaidi ya " Tunda la Mtu uliokuwa katikati ya bustani ya Eden". Acha kupotosha. Maandiko Matakatifu.
OK Maelezo yangu nimesema walikula tunda la mzeitun ila ukanikatalia ukasema tunda linawakilisha utii,Katika Ulimwengu wa kiroho kuna kuchagua na uamuzi unakuwa wa kwako. Maisha unavyoishi unafungua milango mbalimbali unafanya maamuzi wewe kama wewe . Adhabu unayosema ni mtazamo, tulichagua (physical body) maisha ya kimwili yenye mahitaji na hisia na pia inazeeka na kufa, Ndio maana cha kwanza Adam na Eva waligundua wako uchi, wakajifunika. Pia wakaona aibu kwa hali ya kimwili wakajificha waliposikia sauti ya Mungu.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia[emoji817]Tunda lilisimama kama alama ya utii, walipoacha kumtii Mungu ndipo walipewa adhabu.
Ha haaaa sijui Bwana mi nimechombeza tu,Ulichomwa moto?
Umeambiwa usile tunda, ukala tunda. Umekaidi, hujakaidi!?Mkuu hiko kitu walicho kaidi ni kipi? Walifanya vinini (ondoa kula tunda)
Tunda hili navyosikia ndio tunda walilokula Adam na Hawa na ndio hilihili Mungu aliwakataza wasile.
Kama ni Kweli hilo ndio tunda lenyewe naomba nielezee kidogo na kama sitakuwa sahihi mnisahihishe.
Kwanijuavyo ni kuwa maana ya lile tunda walilokatazwa ni kutokufanyana, kwa bahati mbaya wakafanyana na Mungu akawaambia mtazaa kwa uchungu nawe mwanaume mtakula kwa jasho ndio ukawa mwanzo wa kuzaliana mpaka leo kisa tunda (utamu)
Adamu hakuwa mtu wa kwanza nawe ndiyo umepotoka mzee, kivipi Adamu na Eva hawakuwa sio watu wa kwanza, wakati Mungu alipomuumba Adamu akasema ninaona nikulete msaadizi ambapo Eva alitoka ubavuni mwa Adamu, au unataka kuniambia Eva uzao wake ulitoka wapi
Ndio mkuu.Zaituni tulizonazo ni zile za matunda na sio zile zinazotumika kutengenezea mafuta.Je zinaweza kustawi Singida na Dodoma ?tufanye muamala
Mwanzoni Mungu aliruhusu watu waoe dada zao, hivyo Kaini alioa dada yake. Ili kuendeleza uzao, ilibidi Lot azae na watoto wake, na wakati huo haikuwa big deal, Mungu aliruhusu.Adamu aliishi takriban miaka 6,000 iliyopita lakini dunia hii ina umri wa bilions ya miaka na watu wa kale waliishi milions ya miaka kabla ya Adamu, sasa huwezi sema kwamba Adam ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kuumbwa, juu ya yote Biblia imetaja juu ya kisa cha kaini na Habili, kaini akamuua Habili na kisha akatorokea katika nchi ya Nod na huko akaoa, sasa jiulize huko alioa mtu au jini bila shaka alioa mtu, je huyo mtu alitokea wapi wakati kipindi hicho walikuwepo watu watatu tu duniani???.
Adamu hawezi kuwa mtu wa kwanza kuumbwa.
Na huenda walishatawanyika miaka mingi labda hata 100, wakati Kaini alipowafuata dada zake huko waliko ili aoe mmoja wao. Hivyo si ajabu Adamu alioa akiwa na zaidi ya miaka 100, wakati labda ana dada zaidi ya 50 waliotawanyika sehemu mbalimbal
Voda wakikuambia ili ujiunge na kifurushi basi bonyeza *. ...# usipofanya hivyo basi airtime itatumika kwa gharama kubwa zaidi lakini bado kuna watu wanalalamika wameonewa. Tunda lilisimama badala ya choice kwamba ukichagua hii basi kitakachofuata ni hivi . Kutii ni kuheshimu unachoambiwa.OK Maelezo yangu nimesema walikula tunda la mzeitun ila ukanikatalia ukasema tunda linawakilisha utii,
Mfano umemwambia mwanao usidokoe nyama akadokoa na ukamdaba bahati mbaya bado ilikuwa mdomoni na mdomo umemvimba bila aibu anainamainama wewe Mzazi ukaamua umuadhibu kwa kisa la kutoa kutii, mile ulichomkataza.
Sasa basi na Mimi napenda unifafanulie vizuri KOSA lililowafanya kuvunja utii (tunda) kwa Adam na hawa.