moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 484
- 337
Tunda an uzuri wa kipekee nendeni mkalike Page yake ya Facebook mumuone vizuri. Aliumbwa akaumbika Tunda yaani kwa sasa Young Dee anajilaumu kwa kuachana naye. Ila elimu yake utata mtupu kama Lulu wa Majizo.duuuh, ila kadada hako mbona katam kuliko hata mnavokadic humu ndan yn,
Safi sana umenikosha kwa kweli dada yangu , kama vp nipe namba yako ya simu nikurushie pesa kidogo ukajipoze na sodaTunda an uzuri wa kipekee nendeni mkalike Page yake ya Facebook mumuone vizuri. Aliumbwa akaumbika Tunda yaani kwa sasa Young Dee anajilaumu kwa kuachana naye. Ila elimu yake utata mtupu kama Lulu wa Majizo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi sana umenikosha kwa kweli dada yangu , kama vp nipe namba yako ya simu nikurushie pesa kidogo ukajipoze na soda
Hao wengine wivu umewajaa, alafu macho yao nahisi yana matege ndio maana wanamuona wa kawaida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asee we ni shida kwa kweli
Kati ya watu buki m 1 ndo kamsifia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unayumba sasa mkuu, usiende huko hawajielewi wale na team yao, team maandazi
Usiende kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ngoja ntaondoka taratibu taratibu
HahahahTazameni series ya Rome mtamuona Cleopatra sio mtu wa mchezo-mchezo.
Msifananishe Cleopatra na vitu vya namna hii
View attachment 402572
Ukweli ana macho mazuri lakini sio full package maana miguu noooooKwani ni Mgonjwa huyo?, maana anaonekana kana kwamba ana miguu minene ila imekonda aidha kwa kujinyima Chakula au Ugonjwa
Fake fake
Mods sio watu wa mchezo mchezo aisee.hahaha brigadia mafya ndo hance halafu kila wakati unakula ban tena jukwaa la starehe ukojee
nimecheka sana daaaaahMods sio watu wa mchezo mchezo aisee.
alikuwa anajiita hance mtanashati nashangaa leo brigadia hahahaAhahaha hivi anayeanzisha hizi posts ni huyo Tunda mwenyewe au manager Wake? Manake naona zimekuwa nyingi sana. Kizuri ujiuza, mkiona mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha uzuri wa mtu au Kitu basi ujue hamna Kitu hapo.
Yaani anatumia nguvu nyingi kweli.alikuwa anajiita hance mptanashati nashangaa leo brigadia hahaha
ha ha ha mimi sio huyo brigedia nashangaa kwa nini wamenifanyia hivyohahaha brigadia mafya ndo hance halafu kila wakati unakula ban tena jukwaa la starehe ukojee
Situmii nguvu wala nini ila hawa mods ni watu wa ajabu tangu lini nimekuwa brigediaYaani anatumia nguvu nyingi kweli.