Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

duuuh, ila kadada hako mbona katam kuliko hata mnavokadic humu ndan yn,
Tunda an uzuri wa kipekee nendeni mkalike Page yake ya Facebook mumuone vizuri. Aliumbwa akaumbika Tunda yaani kwa sasa Young Dee anajilaumu kwa kuachana naye. Ila elimu yake utata mtupu kama Lulu wa Majizo.
 
Safi sana umenikosha kwa kweli dada yangu , kama vp nipe namba yako ya simu nikurushie pesa kidogo ukajipoze na soda
 
Ahahaha hivi anayeanzisha hizi posts ni huyo Tunda mwenyewe au manager Wake? Manake naona zimekuwa nyingi sana. Kizuri ujiuza, mkiona mnatumia nguvu nyingi kutuaminisha uzuri wa mtu au Kitu basi ujue hamna Kitu hapo.
 
alikuwa anajiita hance mtanashati nashangaa leo brigadia hahaha
 
kwenye huu uzi nilichogundua kwa wanaume wa Tanzania ili uwe mzuri lazma uwe na chura............
ila Tunda ana uzuri wa ki international........uzuri wake mpaka nje ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom