Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

Heeee ana uzuri gani huyu hata mwajuma ndala ndefu tu kamzidi acha kufananisha cleopatra na vikaragosi
 
HApooo sawaaa kabisa
 
wabongo watakuwa wanahisi cleopatra alikuwa kama Masogange, bonge la churaaa. kuna uwezekano mkubwa alikuwa flat screen kama Tuna.
 
Huyu kumbi kukbi anazidiwa hadi na kile kitoto cha moro sec cha kutoka Arusha. Kile ukikipa iphone ukikipiga bata moja ya nguvu na shopping moja tu basi kitakimbiza wadudu wote hao
 
hapa kweli hance mtanashati ndio brigedia naona umekataa ila mm nmeamua kukufanyia ushushushu sasa hapa kwa juu ulmquote mtu kwa jina la brigedia na ukamuambia aweke namba ya simu

baadae kuna mtu akakuquote wewe ila maneno ni yale yale ila jina limekuwa hance mtanashati .. naona unaakaunt nyingne ya hance mtanashati sr nayo umepgwa ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…