kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,995
- 2,572
vilodge sio hotel.Cleopatra kwa kushinda kwenye mahoteli au?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vilodge sio hotel.Cleopatra kwa kushinda kwenye mahoteli au?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]vilodge sio hotel.
Watu na timu zetu mjini[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mahasimu tena ??? Kwa nn??
Anhaaa sawa sawa hapo nimekupata team kibakuli siyo??Watu na timu zetu mjini[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sana halafu camera 360000 kibaooyah lulu mzur saana tu kwa huyu, siion uzur wa huyu bint, ni msichana wa kawaida tu
Timu domoAnhaaa sawa sawa hapo nimekupata team kibakuli siyo??
Mtoto wa kishua huyu sio kama hao wengine kama amber lulu na mwenzake giggy moneyEee.. Atengeneze hela.... sio kung'aa sharubu tu
Pole shimba kwa maumivu ya roho,Asante kwa kucheka mkuu. Angalau umeongeza siku za kuishi. Tunda Cleopatra my foot. Si umeona lakini hayo mamiguu ya huyo binti hapo. Imagine ndo umebebeshwa mabegani mkuu. Basi tu tuyaache lakini mpaka roho inaniuma!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nicheke japo mm na ww ni mahasimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I know[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi na wewe tumetoka mbali
Tofauti zetu ni ndogo ndogo hizo mam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tazameni series ya Rome mtaona Cleopatra sio mtu wa mchezo-mchezo.
Msifananishe Cleopatra na vitu vya namna hii
View attachment 402572
Kumfananisha Cleopatra na huyo tunda ni kosa kubwa sana kwa wanaume wa Dar (USIRUDIE) ,Utang'atwa na COBRA wa Dar es salaam Zoo.Usimfananishe Cleopatra na huyu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] timu hiz!!Watu na timu zetu mjini[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Karibu nyumbani huko ulipotea njia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] timu hiz!!
Ila na mie ntahamia kwako
[emoji1] [emoji1]Itakuwa anamlipa huyu ili tumjadili
Mbona wa kawaida sana!
Usijali mi kwanza kukera staki .Karibu nyumbani huko ulipotea njia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu haka kabinti wanakapa kiki sana wakati ni kakawaida sisi wengine kamekulia machoni mwetu toka kanasoma!Tazameni series ya Rome mtamuona Cleopatra sio mtu wa mchezo-mchezo.
Msifananishe Cleopatra na vitu vya namna hii
View attachment 402572