Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

Mkuu umeandika vizuri weka na namba yako ya simu ili tukuteuwe uwe mkuu wa wilaya
 
Zamani Chadema walijipambanua kama chama cha wasomi chama chenye intelejensia kubwa chama chenye watu wenye hoja na ufahamu lakini muda unavyozidi kwenda naona kabisa chadema kinapotea kabisa. Sidhani kama chadema kwa sasa kinapata wanachama wapya zaidi ya kupoteza wanachama walionao tu.

Kwa hili aliloonyesha Lissu kwenye huu msiba inaonyesha chadema kitaongozwa na watu wa aina gani japo ukweli unajionyesha bila hata kutumia akili sana kwamba watanzania maelfu kwa malaki walikuwa wanampenda JPM au walikuwa wanakubali direction na vision yake ukitoa upuuzi ambao chadema na wanaharakati walichokuwa wanautaka kama uhuru wa kutukana vitu ambavyo kwa mtanzania wa kawaida hana faida navyo moja kwa moja

Niseme tu siku Mbowe akiwaachia hawa wahuni Lissu na Lema chama nadhani ndo itakuwa mwisho wa Chadema coz naamini wanachama wengi wanaimani na Mbowe kuliko Lissu na ndo maana hakuna mbadala wake kwa nafasi ya mwenyekiti kwa sasa na baadae .
 
Kakojoe ulale
 
Badala ya kuomba ajira kwa
imhotep umebaki kutunisha kifua hapo..hehehe...eti "jamuhuli"[emoji1787][emoji1787]
Kweli nimekosea ni "jamuhuri"
ukitafuta makosa ya uhandishi yapo mengi tu humu,hata yeye imhotep kule juu ameandika "Raisi" badala ya "Rais"
"jamhuri"badala ya "jamuhuri"

Anipe ajira au mimi ndo nimkabidhi DAF semi mpya afate ndandash Zambia.
 
Tuwe wastahimilivu wakusikia upande wa wapili kama tunataka rais wangu kuwa mtakatifu.
 
Meko aliekua anawapa kiburi hayupo tena, mlimpiga risasi 16 mpaka Leo Yuko hai hizo risasi utakazompiga Ni tofauti na zile 16??
Mungu ni fundi Sana aiseee huwezi Amini mtu alipigwa risasi serikali ikakatalia hela ya matibabu wakaona haitoshi wakamvua ubunge lakini leo anaishi na yule aliekua rais ambae angatakiwa kumsaidia Leo hayupo!!
Unajipa guarantee kua Lissu akirud 2025 utamuua unajuaje Kama hata hiyo kesho tu utafika??
 
Wafuasi muliolelewa na mfumo huu wa kihuni huni munahaha sana sasa hivi
 
Msimamo wa Lissu sio msimamo wa chadema
Tatizo lenu mnachukulia mambo personal Sana yaani hivi ushawahi hata siku moja kuvaa viatu vya Lissu kwakile alichopitia sep7 2017??
Ni wachache Sana wenye moyo wa kusamehe adui asiemjua hata wewe huwezi kwahyo mnapoona Lissu anafurahia ujue Yuko sahihi kabisa
 
Mbowe ana HEKIMA NA BUSARA PIA.
hata nyalandu nae yupo vizuri.
 
Sidhani kama leo Bashiru au Mangula anaweza ongea vitu kama vile anavyosema Lissu isiwe ni msimamo wa Chama unapokuwa kiongozi unabeba dhamana ya kile unachokiongoza kwa maneno yako na matendo yako kingine hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwa likichotokea sep 7,2017 ni JPM au Serikali ndo ilifanya zimebaki dhana tu
 
Unahisi risasi ni nywele kila sehemu zinaota eee...Hapo ulipo unamiliki mbupu tu.
 
Tatizo lenu ccm mmezoea unafiki bila unafiki mambo hayaendi Yale maumivu ya Lissu hakushirikiana na yeyote yule kuyakabili bali aliyakabili peke yake. Unaposema hakuna ushahidi kua serikali ndiyo ilimfanyia shambulizi je ushawahi jiuliza maswali haya??
1. Kwanini serikali iligomea hela ya matibabu yake ambayo Ni Hali yake??
2. Kwann alivuliwa ubunge wake kwa kigezo eti ni mtoro inamaana spika hakujua kua Lissu alikua mgonjwa???
3. Ni lini ulisikia upelelezi umefanyika wa kuchunguza shambulio la sep 7???

All in all kwa kipimo kilekile mnachowapimia wenzenu ndo kipimo mtakachopimiwa!! Wale mliompenda Sana Mh ndo kaenda hvoo hawezi kurudi hata wale waliomchukia Sana ndo kaenda hivo kwahyo kila mmoja anatoa reaction jinsi gani hayati aligusa maisha yake.
Wale ambao walifaidi utawala wa magufuli hawawezi kua na reaction sawa na wale walioumizwa kwenye utawala wake chukulia familia Kama Ben Saanane Azory Gwanda @ Erick Kabendera Tundu Lissu Alphonce Mawazo @Akwiline Akwilina e.t.c Kamwe hawawezi kua na reaction sawa na watu Kama @hpolepole bashiru Ally godwin molel @Olesabaya.

Kamwe hawawezi kua sawa na hawatakua sawa kwenye reaction ya kufa kwa magufuli.
 
Lissu hana kabisa busara hata ile ya kawaida tu! Pili hana mshauri wa maana au huwa anakataa ushauri!!
Mtu yeyote mwenye akili timamu kwa sasa hawezi kujitambulisha kuwa mfuasi wa Lisu!! Amepoteza hata hao mashabiki wake wachache aliokuwa nao! Kwa Tanzania asahau. Labda agombee urais wa LGBT+ huko aliko!
 
Kwa wivu huu wa mpk kwa marehemu simpi tena Kura yangu kaniudhii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…