ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Najua umetumwa ila rudisha majibu kwa waliokutuma kwama Herode alipokufa Yesu alirudi nchini mwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba ushauri kwenye kaburi la Tingatinga.Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Ccm ingekuwa na intelijensia waziri mkuu angemtetea marehemu kuwa yuko hai wakati aishakata moto?Zamani Chadema walijipambanua kama chama cha wasomi chama chenye intelejensia kubwa chama chenye watu wenye hoja na ufahamu lakini muda unavyozidi kwenda naona kabisa chadema kinapotea kabisa. Sidhani kama chadema kwa sasa kinapata wanachama wapya zaidi ya kupoteza wanachama walionao tu.
Kwa hili aliloonyesha Lissu kwenye huu msiba inaonyesha chadema kitaongozwa na watu wa aina gani japo ukweli unajionyesha bila hata kutumia akili sana kwamba watanzania maelfu kwa malaki walikuwa wanampenda JPM au walikuwa wanakubali direction na vision yake ukitoa upuuzi ambao chadema na wanaharakati walichokuwa wanautaka kama uhuru wa kutukana vitu ambavyo kwa mtanzania wa kawaida hana faida navyo moja kwa moja
Niseme tu siku Mbowe akiwaachia hawa wahuni Lissu na Lema chama nadhani ndo itakuwa mwisho wa Chadema coz naamini wanachama wengi wanaimani na Mbowe kuliko Lissu na ndo maana hakuna mbadala wake kwa nafasi ya mwenyekiti kwa sasa na baadae .
Lisu ni chizi, zile risasi zilupunguza IQ kichwaniBusara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za
1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni
2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k
Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na hasira pembeni atagundua makosa yake.
Alikuwa na nafasi nzuri ya kusema amesamehe yote na anawatakia Watanzania pole na maombolezo ya amani. Angeonekana ana busara na roho ya kusamehe/utu.
Ila kuendelea kuipiga mateke na kuimwagia mchanga Maiti ya JPM hakuoneshi kuwa sasa yeye ni Jasiri. Kunaonesha ni dhaifu anayepigana na kiumbe kisicho na uwezo wowote.
Alipaswa atumie wakati huu kwa busara sana kuwausia viongozi wengine namna ya kuishi na Wananchi. Na pia kama kuna sehemu anaamini hakutendewa haki kama angekuwa Mkristo angeachilia tu.
Binafsi sijui Dini ya Tundu Lissu au Dhehebu lake. Nlisoma kisa cha Daudi miaka ya nyuma alipokuwa akitafutwa na Sauli auawe. Nlifuatilia sana ule ugomvi wao kila mara. Mpaka siku ile Sauli ameingia Pangoni alipokuwa amejificha Daudi kujisadia. Daudi angemuua tu na ku claim Ufalme. Hakufanya hivyo.
Nadhani ilitokea kama mara mbili hivi. Daudi alikuwa akimwombea Sauli aishi maisha marefu ili aje aone aibu mwenyewe. Hakutaka kumuua. Mungu alipendezwa na tabia ya Daudi. Na tukumbuke naye alikuwa binadamu alishawahi kukosea mara kadhaa. Hakuwa Malaika.
Tundu Lissu mimi huwa nampenda akiwa kama tu mwanaharakati. Kiuongozi bado sana.hana busara au hekima ya kiuongozi. Hawa hubaki hivi hivi miaka yote. Si watendaji wazuri. Ila ni waongeaji wazuri.
JPM hakuwa mwongeaji mzuri. Hakuwa akivutia kumsikiliza. Binafsi Rais wa mwisho kusikiliza Hotuba zake alikuwa ni Benjamini W. Mkapa. The man was smart upstairs.
Waliokuja wote hakuna aliyekuwa ni good speaker. Ukimsikiliza kikwete ukimsikiliza Magufuli. Lakini Magufuli ilikuwa inawezekana akaamua kufanya kazi flani na akafanya kwa kila namna.ili mradi afanye.
Tundu Lissu kama ngeweza mshauri au angekuwa anashaurika angetulia.afanye siasa ambazo ni matured, sophisticated. Siasa za tweteer na instagram hazitomsaidia.
Ajikite kwenye utatuzi wa matatizo ya Nchi na Wananchi. Aachane na Mashambulizi kwa JPM hayatomsaidia. Mwendazake keshaenda. Yeye asamehe na ku move on.
Najua wafuasi wake mtakuja na matusi pasipo kujadili katika hali ya kumsaidia na kuisaidia nchi. Nashukuru Sikuwahi kuwa Mfuasi wa Dini,Kabila,Mtu,Team wala Chama. Nasimama mimi na uelewa wangu kupima jema na baya.
Rangi zake halisi zinazidi kuonekanaBusara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za

Rangi zake halisi zinazidi kuonekana