Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #81
Not dreva ni dereva kwa kiswahili and driver in english. Which language do you prefer? Mimi ni dereva wa bodabodaKumbe huyu ni dreva wa lorry?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not dreva ni dereva kwa kiswahili and driver in english. Which language do you prefer? Mimi ni dereva wa bodabodaKumbe huyu ni dreva wa lorry?
Mstaafu, kijana usiniletee wasiojulikanaNatamani kweli mkuu nije tuongee ili nikufundishe nasikia ni dreva wa lorry. Ni kweli?
Sasa wewe mbona unatukana sasa? Lissu amechaguliwa kuwa balozi wa Mashoga Afrika ya Kusini na hajawahi kanusha na barua ya kuchaguliwa kwake ililetwa humu JF. Sasa wewe kwanini unamsemea wakati yeye hajawahi kukanusha?Tatizo lenu NYIE CCM na CDM mnaamini kila mtu ana akili za Kushikiwa na hivyo vyama na matusi. Sisi wengine hatuna vyama ni watanzania tu wazalendo. Huu umeandika ni upuuzi. Tuelimishane kwa hoja na si vioja na dhihaka.
Wewe umewahi kuwa na mahusiano naye akakwambia hatoweza kusex nawe sababu yeye ni shoga?mkifanya hivi wanawake mnajidhalilisha sana na ukichukulia tuna rais mwanamke. So haya maneno ya ukipishana na mwanaume kimawazo unamwita shoga hayajengi
Hapana nakuja mwenyewe ili tuongee mambo mazuri tu mkuu.Mstaafu, kijana usiniletee wasiojulikana
Sio Leo wala kesho bado nasheherekea msiba wa Adui wa Taifa kwa vinywajiHapana nakuja mwenyewe ili tuongee mambo mazuri tu mkuu.
Utatangulia wewe.Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Siku yoyote hata mwaka kesho ukimaliza kusherekea mkuu!Sio Leo wala kesho bado nasheherekea msiba wa Adui wa Taifa kwa vinywaji
Halafu mtu kama huyu anaachwa bila hata ban !!. ModeratorLissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Nyie Uvccm huwa hamuaminiki unaweza kunibebea smg kwa kwako bhanaSiku yoyote hata mwaka kesho ukimaliza kusherekea mkuu!
Umeagana na Mungu?.alafu unavyoandika kana kwamba mh rais kafa kwa kupigwa risasi na Lisu na bahati mbaya kwako kabla ujatimiza lengo lako utakuwa nyama ya udongo.Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Kama mlivyozichanga karata vibaya kwa kumpiga risasiYawezekana lisu anazichanga karata zake vibaya wakati huu, anajipotezea yeye na chadema wafuasi na wapenzi wa chama,
Kwa njia aliyoichagua Lisu kwasasa na namwambia tu APAMBANE NA HALI YAKE.
Yap,tena roli bovu.kuna siku nilimkuta Manyovu pale anagalagala chini limeua riliz bering ya gear box.Kumbe huyu ni dreva wa lorry?
Kwani kuna kilaza yoyote alietarajia, Lissu awe Rais?
MKUU Haya majitu hata yalimkasirikia MUNGU kwa kumponya LISUMwacheni Mwenyezi Mungu atende miujiza yake, yaani mliye mpiga risasi za kutosha bado yupo anadunda na aliye ratibu mpango mzima leo hii yupo kaburin, kibaya zaidi aliye kaburin hakuwahi omba msamaha, yaani amekwenda motton na dhambi yake!!!! Kwenye hili TL anayo haki ya kumdhihaki mbaya wake adi siku ya kiama!
Soma vizuri hizo post hivi unajua maana kung'ang'ania madaraka kukoje ni pamoja ma kuiba Uchaguzi kukataa HAKI ya Wananchi kuchagua Viongozi na Vyama wavitakavyo
Kutumia Nguvu za Majeshi ya Polisi na Magereza kuwanyanyasa Wapinzani
Kuzuia matakwa ya Wananchi ya kutaka Katiba Mpya na Tume HURU
Tumeshajidhihirisha kuwa CCM kamwe haitasikiliza Matakwa ya Wananchi bali wanasikiliza ya WanaCCM wenzao sisi Chadema tunasikiliza matakwa ya Wananchi wotematakwa ya wananchi yapo chadema peke yake!!!,mnaumwa nini nyinyi??
Hivi pro Lissu akisema atabeba silaha ampige kiongozi yeyote hasa wa CCM . Je ataachwa na vyombo vya dola na vya maamuzi aende anatamba ?! Kama huyu limbukeni wa madarakaSijaona sababu ya mtu huyu kupigwa ban!