Tetesi: Tundu Antipas Lissu kuicha CHADEMA na kuhamia CCM 12/12/2024

Tetesi: Tundu Antipas Lissu kuicha CHADEMA na kuhamia CCM 12/12/2024

Wasalaam,

Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.

Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Aende wammalize kabisa. Aende kwani hana kumbukumbu ya waliyomtendea? Lissu si Msigwa chawa wa ajabu sana na mnafiki muoongo na fisaadi asiye na kumbukumbu.
 
Wasalaam,

Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.

Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
1. Kwamba atapokea hongo?
2. Kwamba jana alikuwa anawachora cdm?
3. Kuwa alikataa hongo ya Abdul lkn sasa amefika malipo?

Naweka akiba ya maneno hadi muda wa press ufike.

Ni rahisi Mbowe kuachia uenyekiti lkn sio Lissu kuingia ccm
 
Hata ingekua wewe ungekubali kuongozwa na nkurunzinza miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti wa chama
 
kwa hali jinsi ilivyo ni bora wapizani wote machachari Zito,Mbowe , Lisu, Mnyika, Lema n.k wahamie huko huko CCM, labda serikali ya CCM ita ona umuhimu wa kujali mfumo wa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom