Tetesi: Tundu Antipas Lissu kuicha CHADEMA na kuhamia CCM 12/12/2024

Wasalaam,

Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.

Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Chadema inaenda kuwa TLP soon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wasalaam,

Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.

Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Huyu Lissu anawaletea maccm jinamizi sana na mwakani atawafanya kitu mbaya sana.
 
Wasalaam,

Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.

Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Ikiwa hivyo atakuwa JPM alikuwa sawa hakuna hukumu juu yake.
 
1. Kwamba atapokea hongo?
2. Kwamba jana alikuwa anawachora cdm?
3. Kuwa alikataa hongo ya Abdul lkn sasa amefika malipo?

Naweka akiba ya maneno hadi muda wa press ufike.

Ni rahisi Mbowe kuachia uenyekiti lkn sio Lissu kuingia ccm

Tuko pamoja Mkuu, isipokua eneo Moja tu, usimwamini sana mwanasiasa yeyote.
 
Back
Top Bottom