JF posts kama hizi zinaifanya JF ionekane kama magazeti ya udaku. Msikubali ujinga kama huu kuandikwa kwenye platform yenu! Itawaharibia. Andika credible things likely to be so!Wasalaam,
Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.
Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.