Tetesi: Tundu Antipas Lissu kuicha CHADEMA na kuhamia CCM 12/12/2024

Tetesi: Tundu Antipas Lissu kuicha CHADEMA na kuhamia CCM 12/12/2024

Wasalaam,

Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.

Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Kuliko ahamie ccm nimjuavyo lisu ataachana na siasa kabisa
 
Back
Top Bottom