mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Si
Sidhani kama Mh Lissu yupo taliyi kupigiwa debe nama kenge kama wewe.Mwenye CV yake atuwekee ili tuichambue kwa kina isije kuwa ndio walewale akina PK na M7
2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa
2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais wa JMT
Jumaa kareem!