Tundu Antipas Lissu ni nani hasa?

Tundu Antipas Lissu ni nani hasa?

Kwa hiyo kupiga one ndo huwezi kuwa na dish liloyumba? Ndugu yako Lisu dish lake haliko sawa! Sijui huaa mnamshabikia kwa nini? Kwanza yule ni shoga! Eti ni mgombea wenu wa Urasis hahahah!
Upumbavu hautakusaidia kitu. Kila mmoja nchi hii anajua Lissu ana mke na watoto na anaishi na mke wake Belgium. Shoga kiaje?! Uungwana ni jambo la bure na la kheri. Kama wewe huna uwezo wa kufika hata hapo Nairobi usiwaonee gere wenzako wenye uwezo wa kuishi ughaibuni.
 
Kwa hiyo kupiga one ndo huwezi kuwa na dish liloyumba? Ndugu yako Lisu dish lake haliko sawa! Sijui huaa mnamshabikia kwa nini? Kwanza yule ni shoga! Eti ni mgombea wenu wa Urasis hahahah!
hey mancome on ,this is not facebook
 
Lete hoja acha Vioja....

Unakimbilia kwenye tukio badala ya kujibu niliyoyasema mimi!

Jamaa yenu pamoja na usomi wake,ukweli ni kwamba Dish lake limeyumba!

Kuna kitu huwa hakiko sawa kwenue Medula yake.

Na sasa anaumwa Maradhi ya "Magu-Phobia"

Hata asipokuwa amesemeshwa,utakuta anatamka neno "MAGUFULI" bila kujielewa kwamba amelitamka!
Lazima alitamke coz zile risasi AISEH!!

Japo najiuliza alikuwa anahujumu taifa!?hadi operation was excuted!!?je ile operation Imesitishwa au itaendelea kutokana na unyeti WENYEWE!!?

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu!
 
Mwenye CV yake atuwekee ili tuichambue kwa kina isije kuwa ndio walewale akina PK na M7

2025 siyo mbali jamani na alitakalo mmarekani huwa

2020 Tundu Lissu alikuja " kibabe" sana kugombea Urais wa JMT

Jumaa kareem!
JamiiForums1327454580.jpg
 
Ni kijana fulani wa kutoka Singida vijijini ndani ndani, bushi kabisa, tukakutana Ilboru, dogo akiwa O-Level mimi A-Level HGL. Dogo akapiga 1, Olevel akaenda Galanos nako akapiga 1 Alevel na kutimba UDSM kusomea sheria LL.B

Nikaja kukutana naye tena Atlanta Marekani yeye akiwa LEAT, mimi nikitembelea familia inaishi US, wife ni Mtanzania ila ni US subjet na anaishi kule.

Baadaye akatinga bungeni na huko sasa ndiko wengi wakamfahamu kwa jinsi anavyo wachachafya wale mazuzu mule!.

Kwa vile mimi ni Big Brother wake, nimekuwa nikimshauri vitu vingi, miongoni mwake ni hivi naweka 10 tuu lakini ukitaka 20 vipo, ukitaka 30 vipo... hadi 50!.
P

[emoji109] please tuongezee nyuzi zingine mkuu
 
Makalio yake yamejaa risasi huyo msenge Lisu lete ya kwako labda nitayapenda![emoji23][emoji23][emoji23]!
Hivi kumtukana mtu ambaye hakujui, hulingani naye kwa kila kitu, umaarufu wake hata uchanganye wazazi wako ambao obviously ni masikini ndio maana hawakukupa elimu bali kukujengea roho ya chuki na wewe mwenyewe hamtaufikia basi utatumbukiwa na nyongo na kufa bure!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni kijana fulani wa kutoka Singida vijijini ndani ndani, bushi kabisa, tukakutana Ilboru, dogo akiwa O-Level mimi A-Level HGL. Dogo akapiga 1, Olevel akaenda Galanos nako akapiga 1 Alevel na kutimba UDSM kusomea sheria LL.B

Nikaja kukutana naye tena Atlanta Marekani yeye akiwa LEAT, mimi nikitembelea familia inaishi US, wife ni Mtanzania ila ni US subjet na anaishi kule.

Baadaye akatinga bungeni na huko sasa ndiko wengi wakamfahamu kwa jinsi anavyo wachachafya wale mazuzu mule!.

Kwa vile mimi ni Big Brother wake, nimekuwa nikimshauri vitu vingi, miongoni mwake ni hivi naweka 10 tuu lakini ukitaka 20 vipo, ukitaka 30 vipo... hadi 50!.
P
Dear School mate Tundu Lissu, najua umepitia makubwa. Welcome back home. Nakuomba sana upunguze kidogo kuliishi jina lako, usimsumbue huyu Mama kama ulivyomsumbuaga yule Madam, Mwenyekiti wako Mbowe tayari ameisha onyesha uungwana na ustaarabu mkubwa, wa hali ya juu@, please do the same!, tufanye siasa za kiungwana na kistaarabu. Kubebwa bebeka, ukipedwa pendeka, ukishikwa shikamana, ukiaminiwa jiaminishe!.
Yaliyopita si ndwele, samehe, tugange yajayo tusonge mbele!.
Welcome back home.
Your school mate
Pasco
 
Ni kijana fulani wa kutoka Singida vijijini ndani ndani, bushi kabisa, tukakutana Ilboru, dogo akiwa O-Level mimi A-Level HGL. Dogo akapiga 1, Olevel akaenda Galanos nako akapiga 1 Alevel na kutimba UDSM kusomea sheria LL.B

Nikaja kukutana naye tena Atlanta Marekani yeye akiwa LEAT, mimi nikitembelea familia inaishi US, wife ni Mtanzania ila ni US subjet na anaishi kule.

Baadaye akatinga bungeni na huko sasa ndiko wengi wakamfahamu kwa jinsi anavyo wachachafya wale mazuzu mule!.

Kwa vile mimi ni Big Brother wake, nimekuwa nikimshauri vitu vingi, miongoni mwake ni hivi naweka 10 tuu lakini ukitaka 20 vipo, ukitaka 30 vipo... hadi 50!.
P
Kiukweli, Mbowe apishe tuu njia mtu wa kuichukua Ikulu yupo, ni.TL.
P
 
Back
Top Bottom