Tundu Antipas Lissu ni nani hasa?

Tundu Antipas Lissu ni nani hasa?

Ni kijana fulani wa kutoka Singida vijijini ndani ndani, bushi kabisa, tukakutana Ilboru, dogo akiwa O-Level mimi A-Level HGL. Dogo akapiga 1, Olevel akaenda Galanos nako akapiga 1 Alevel na kutimba UDSM kusomea sheria LL.B

Nikaja kukutana naye tena Atlanta Marekani yeye akiwa LEAT, mimi nikitembelea familia inaishi US, wife ni Mtanzania ila ni US subjet na anaishi kule.

Baadaye akatinga bungeni na huko sasa ndiko wengi wakamfahamu kwa jinsi anavyo wachachafya wale mazuzu mule!.

Kwa vile mimi ni Big Brother wake, nimekuwa nikimshauri vitu vingi, miongoni mwake ni hivi naweka 10 tuu lakini ukitaka 20 vipo, ukitaka 30 vipo... hadi 50!.
P
Nyie wazee wa JF wengi mna chuki na Lissu shida nini??
Hili ni bandiko la chuki?.
P
 
Back
Top Bottom