Uchaguzi 2020 Tundu Antiphas Lissu afanya mkutano Tunduru

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
Your browser is not able to display this video.

Nawaonea huruma wapuuzi wanaohangaika wakijitahidi kuzuia Tsunami kwa mikono, Mh. Tundu Antiphas Lissu hamtamweza, Ni YEYE mpende msipende na ole wenu msipochukua tahadhari, mtasombwa na maji. Tunduma mpoooo!

Your browser is not able to display this video.
 
Pole sana, Mkuu. Sikujua kama na wewe umesombwa na ngembe za watafuta nongwa!

Mkuu ifikirie Tanzania kwa mara nyingine endapo kama bado una nafasi ndani ya moyo wako wa kutakia mema watanzania wote na upo tayari kuiona Tanzania iliyo imara katika nyanja zote na ya kiamendeleo kwa watanzania wote.

Mkuu, Lissu siyo mgombe mwenye kututakia mema sisi watanzania kwa nyakati hizi. Matendo yake na matamshi yake yana dhibitisha haya.
 
CCM upooooooooooo!
Mkicheza na uchaguzi huu mtaishia the Hague
TUJITEGEMEE watanzania kwa kila jambo linalotuhusu kulifanyia kazi. Utegemezi haulipi!

Mnataka kumuweka madarakani Lissu kwa msaada wa vitisho vya wabaya wetu.Je. Hao wabaya wetu mtawalipa nini!?
 
Kila mtu amemkataa lissu maskini

kweli usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
 
CCM kazi yao kusomba wanafunzi kwelii mwaka huu jiwe kazi anayo.


Namsikitikia maana hajui Kama wanafunzi huwa wanasombwa, shule zinafungwa, malori, coaster ndo zinazojaza uwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…