Uchaguzi 2020 Tundu Antiphas Lissu afanya mkutano Tunduru

TUJITEGEMEE watanzania kwa kila jambo linalotuhusu kulifanyia kazi. Utegemezi haulipi!

Mnataka kumuweka madarakani Lissu kwa msaada wa vitisho vya wabaya wetu.Je. Hao wabaya wetu mtawalipa nini!?
Kwani mnaogopa nini? Mbona mnaogopa sana kuiacha Ikulu Kuna biashara gani kule miaka yote mliyokaa Ikulu hamjatimiza malengo tu?
 
Huyu mwenzetu
-anatuuwa ndugu zake.
-anatuteka
-anatufilisi
-anatutengenezea kesi za uwongo
-anatutisha

Hakika tumemchoka sana
Ole wenu waalimu msipo mchagua mpenda sifa, na kuabudiwa
 
CHADEMA msione shida kuwaambia watanzania kwenye matangazo yenu kwa Lissu ni wa Mwisho. Watanzania hatuna haja ya kuchagua vitu vya mwisho. TUZO anapewa mtu wa kwanza Dkt Magufuli. Watanzania tunakwenda na mtu wa kwanza.
Aliyemuweka Wa mwisho ni nani?.
 
CHADEMA msione shida kuwaambia watanzania kwenye matangazo yenu kwa Lissu ni wa Mwisho. Watanzania hatuna haja ya kuchagua vitu vya mwisho. TUZO anapewa mtu wa kwanza Dkt Magufuli. Watanzania tunakwenda na mtu wa kwanza.

ulishawahi kufanya IQ Test??
 
Kuteka, kutesa, kuua na kupoteza watu ni dalili ya utawala ulio mufilisi ambao kwa karne hii hautufai.
Ktk yote haya ndiyo yametibua nyongo za watanzania. Kwamba imefika mqhali rais anageuka kuwa mtesaji na muuwaji watu wake!!!! Lazima ccm ichezee kichapo wiki ijayo.
 
Unamaanisha nini
 
Huna jinsi bwashee roli lililobeba kura za uwongo limekamatwa ..Siri zinatoka ndani ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…