Uchaguzi 2020 Tundu Antiphas Lissu afanya mkutano Tunduru

Kazi imeisha hiyo
Ni hivi...kwa miaka mitano uwanja ni wako peke yako huku wapambe wakikupigia vigelegele wakidai hakuna kama wewe. Ghafla ukiwa na hakika huna mpinzani, anatokea mtu na katika muda mfupi wa miezi miwili, historia uliyojijengea unashuhudia ikifutika mbele ya macho yako!
 
TUJITEGEMEE watanzania kwa kila jambo linalotuhusu kulifanyia kazi. Utegemezi haulipi!

Mnataka kumuweka madarakani Lissu kwa msaada wa vitisho vya wabaya wetu.Je. Hao wabaya wetu mtawalipa nini!?

Akili za mavi . Nani huyo mbaya wetu. CCM akili hakuna
 
CHADEMA msione shida kuwaambia watanzania kwenye matangazo yenu kwa Lissu ni wa Mwisho. Watanzania hatuna haja ya kuchagua vitu vya mwisho. TUZO anapewa mtu wa kwanza Dkt Magufuli. Watanzania tunakwenda na mtu wa kwanza.
Akili za kijinga Kama za polepole
 
Kachukue elfu saba yako, we lofa!!
 
CCM upooooooooooo!

Mkicheza na uchaguzi huu mtaishia the Hague
The Hague isiwapumbaze sana. Hakuna anayeweza muweka Tl madarakani zaidi ya raia. Jeshi linaangalia raia, wakiwa wengi sana wanamtaka kwa kiwango cha kuwa tayari kumpigania utaona ilivyo rahisi kuingia ikulu. Kinyume na hapo utashuhudia Tl akisema nchi inahitaji maridhiano, watu wana hasira n.k
 
Da haya maneno yako yanakatisha tamaa kabisa.
Huo Ni ukweli ulio mchungu.
Lissu Ni Kama Special Force.
Ameyarudisha nyuma Majeshi ya adui peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…