Tundu Antiphas Mughwai Lissu True Definition ya Kufa Umesimama kuliko kufa umepiga Magoti

Tundu Antiphas Mughwai Lissu True Definition ya Kufa Umesimama kuliko kufa umepiga Magoti

Kufa ni kufa tu.
FB_IMG_1756864435674.jpg
 
Kweli kabisa baada ya mkwawa ni tundulisu hao ndyo wazalendo wa kweli.MKWAWA alikufa kwaajili ya nchi yake na tundulisu ypo tayari kufa kuipigania haki ya watanzania
 
Kweli kabisa baada ya mkwawa ni tundulisu hao ndyo wazalendo wa kweli.MKWAWA alikufa kwaajili ya nchi yake na tundulisu ypo tayari kufa kuipigania haki ya watanzania
Ni mtu na Nusu
 
Uzembe wetu kama taifa umefanya watu wenye uwezo na wenye maono ya mstakabali mwema was taifa letu kufa vibaya au kutwezwa utu wait na jamhuri imeendelea kulinda watu vituko wasiofaa kwenye uongozi!

Kwa tukio hili siwezi kusifu Lisu Bali namuonea huruma,huwezi kumsifu mtu anaeteswa na mifumo mibovu badala ya kumuonea huruma zaidi!!

Taifa lijifunze kujitegemea na sio kuwatoa watu kama chambo Cha mabadiliko yanayoumiza watu hao!!

Pole lisu!nakemea vyombo vya maamuzi vya taifa letu!!
 
Inaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
Naunga mkono hoja,
Rekebisha heading isomeke
"Bora kufa huku umesimama kuliko kuishi huku umepiga Magoti".
P
 
Back
Top Bottom