Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ila kauli ya " Over My Dead Body".... Nilijuaga ni methali tuInaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.