Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ila kauli ya " Over My Dead Body".... Nilijuaga ni methali tuInaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
Naunga mkono hoja,
Rekebisha heading isomeke
"Bora kufa huku umesimama kuliko kuishi huku umepiga Magoti".
P
Naomba anisandie kurekebisha Lissu ni mwambaNaunga mkono hoja,
Rekebisha heading isomeke
"Bora kufa huku umesimama kuliko kuishi huku umepiga Magoti".
P
Acha kuichafuwa Maswa popoma wwAlishangilia kifo cha Magufuli akifikiri atakula raha
Nenda kwenye post No. 1, bonyeza kitufe cha report , kisha omba Kurekebisha heading Bora kufa huku umesimama kuliko kuishi huku umepiga Magoti".Naomba anisandie kurekebisha Lissu ni mwamba
Alishangilia kifo cha Magufuli akifikiri atakula raha