johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bado hamjasema
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa
" hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja"
Hakika Shujaa Magufuli πΉ alisingiziwa mengi
Ameandika John Pambalu Ukurasani X
Mlale unono π
Bado sana ππππ₯Bado hamjasema
Huyu huyu Erythrocyte ndo kaandika huu ukweli,?
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema Uchaguzi wa 2019 hakuna Mtu aliuawa
" hayati Magufuli alifutafuta tu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lakini hakuuwa Mtu hata Mmoja"
Hakika Shujaa Magufuli πΉ alisingiziwa mengi
Ameandika John Pambalu Ukurasani X
Mlale unono π
Lazima na huyu katili tumtajeHapa tunamzungumzia Shujaa Magufuli ππ
Amekuwa Jiwe Kuu la Pembeni πLazima na huyu katili tumtaje
Lisu anazungumzia Uchaguzi siyo ajali πΌAlphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina
Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida
Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji
Britanicca
Tanganyika ameifanya kuwa koloni la ZanzibarAmekuwa Jiwe Kuu la Pembeni π
CCM wameua mpk mbungeLisu anazungumzia Uchaguzi siyo ajali πΌ
Tanganyika ni wilaya DC Lijualikali wa CHADEMA πππ₯Tanganyika ameifanya kuwa koloni la Zanzibar
Wa wapi?CCM wameua mpk mbunge
Jamaa yangu wewe kila unachoandika sikuamini yaan chochote utakachoandika humu sikuamini hata roboAlphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina
Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida
Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji
Britanicca
Wajinga nyie ndiyo mnajidanganya hivyo, kwa hiyo na TLS ni ya Wilaya?Tanganyika ni wilaya DC Lijualikali wa CHADEMA πππ₯
Atazikwa tarehe 3Wa wapi?
π€CCM wameua mpk mbunge
Bado hujasema?