econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wa wapi?
Pemba ACT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa wapi?
..anachosema Lissu ni kwamba uchaguzi wa 2019 haukufanyika hivyo hakukuwa na mauaji.
..lakini Lissu amesikika mara nyingi akisema marisasi aliyopigwa aliyetoa amri alikuwa Joni Pombe Magufuli.
Hakuna atayeweza kumkumbuka mpuuzi kama huyoHata mama akimaliza muda wake mtamkumbuka pia🐼
Shida ya Lissu Hana gavana ya kuongea. Leo anamuona Magufuli ni mtu mwema. Ndio maana CCM wanafanya wanayofanya maana hakuna
Jamaa muongo sana alitwambiaga na Putin naye kuvutaHuyo simuamini hata aandike nini humu jamaa aliniaminisha kwamba DAB kavuta SA sababu kalishwa sumu si nikaanza kusambaza uduvi mara paap DAB anakagua Airport Arusha nilionekana km Mchawi fulani hivi mpaka leo wale niliowaambia hawaamini km na Mimi niliambiwa na huyu mwamba hizi taarifa za uzushi huyu jamaa ni bingwa
Wewe jamaa ni ongo ongo sanaAlphonce Mawazo kauwawa na CCM
Ben saa nane
Azory Gwanda
Lajwabe
Akwilina
Yaan haijalishi kauwawa kwenye uchaguzi au kwenye siasa za kawaida
Mimi ni CCM, ninayepinga Mauaji
Britanicca
Mimi nilijua kitambo, hata mauji yale yalikuwa yanafanywa na mtandao wa ccm kumchafua, hii ccm ni ya kutoa ili tuanze upya. CCM ni bonge la janga, yaani uchumi hayawezi yana weza ujinga tu, hivi tuna vyoongea uchumi wa Tz umeporomoka kitoka 85B $ to 79B$ , mama yenu ni bure kabisa, sijui anafanya nini Ikulu, ni goal hilo kwa wa Tz.
Lisu: Magufuli alisingiziwa mengi..kuwategemea Ccm wasipotoshe kauli za Tundu Lissu ni tatizo la kujitakia tu.
..Lissu amesema Magufuli hakuua siku ya uchaguzi, lakini ndiye aliyetuma watu wamuue yeye binafsi. Sasa ni vipi amesema Magufuli ni mtu mzuri?
Ukweli hujisimamia 😂😂😂Atanena sana kwa lugha huyu Amsterdam wa Singida. Magu anajitetea kupitia Lisu sasa ajabu na kweli
Lisu: Magufuli alisingiziwa mengi
Unajua Kuwa Tundu Lisu aliwahishwa hospital na Afisa wa Serikali?..Jpm amesingiziwa na wana Ccm wenzake waliomuua.
..lakini shutuma na malalamiko ya wapinzani dhidi ya Magufuli ni ukweli mtupu.
HayaKwa hili nitatofautiana na Lissu yule mwendawazimu alikuwa muuaji.